Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Washamba sana, hawatak kuheshimika. Kwao kudharaulika ni bora zaidiwasamehe mkuu
Ndio tegemeo la Serikali kukamilisha mazoezi ya aina hiyoo.Kwamba walimu Wana kimbelembele sana?
Upo Halmashauri ipi miongoni mwa Halmashauri 185?
πππKuna ukweli hapa Jana nimeenda kama vituo3 nimekutana na walimu tu isipokuwa jamaa mmoja nae anajotolea ualimu vilevile
Walimu wana tamaa sana hawapendi majobless wapate fursa hata ziwe ndogo ndogoWalimu acheni tamaa. Hizi fursa za mda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani
Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee!!. Kazi zingine zinadhalilisha utu wenu achieni vijana wamitaani njaa zenu isiwe tabu na kero kwa jamii. Hamjiulizi mbona madaktari, wanasheria, watu wa bank, watu wa TRA, watu wa DAWASCO, TPDC, TANAPA, TABASCO, TCRA, TRC, POSTA, WANAJESHI, hao wote hawajaomba why nyinyi tuu??
Wapi huko?πππ
πππ€£Hiyo ni ajira yao walishajimilikisaha.