Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #21
, ππππWalimu ndo backup ya serikali, hata posho iwe ndogo kiasi gani walimu hawaachi kuichangamkia ndo maana serikali ikiwa na jamno linalohitaji watu wengi iwe kwa bure au kwa malipo kidogo basi wana uhakika na hili chimbo lao hahahahahah!
π€£π€£π€£Ww senge sana waache walimu km.vp na ww ungeombwa unafir....
π€£π€£π€£π€£π€£Kama wasenge yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshangaa kuna sehemu afisa ugavi wa halmashauri X nae anapiga interview ya BVR aiseeeee
πππOyaa!! Vipi Mimi nilijua upo Nepal kwenye issue ya udereva kumbe unapambana na walimu!!! Duuu pole sana mgogo wa mpunguzi !! Yani unawinda mpaka daftari la kura!? Kubali umechoka!!
Mbona Hakuna madaktari au nao ni majobless.Nani aliyekuambia wote waliopata hizo nafasi ni waalimu mbona wapo wengi tu waliotokea kitaa, by the way serikali inafanya hivyo kwa sababu hata ikitokea vile vifaa vimeibiwa waalimu ni rahisi kuwakamata kuliko majobless, ndio maana hata kwenye sensa wengi walikuwa waalimu na zoezi lilipoisha vishikwambi wakapewa waalimu tu
Duuh kwahiyo wewe unaona ratiba ya kazi ya daktari ni sawa na ya mwalimu, daktari aliyeko kazini ni ngumu kufanya hizi kazi labda kama unaongelea jobless aliyesomea udaktari (ambao wapo wengi tu), kwanza asilimia kubwa ya hivyo vituo vya kuandikishia ni mashule ndio maana waalimu wanahusika kwa sanaMbona Hakuna madaktari au nao ni majobless.