Pre GE2025 Waliochaguliwa kwenye kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura ni Walimu tupu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa, lakini hapo mwisho, binafsi naona umechanganya TAALUMA na MASHIRIKA..!! Madaktari au wansheria ni wana taaluma, lakini DAWASCO, POSTA etc. Kuna mwalimu yupo jeshini anafundisha shule ya jeshi, na wengine ni wanajeshi pia.
 
 
Hizo kada hawajasambaa vijijini kama walimu.Jobless mlipewa sensa mkalewa na kuuza vishkwambi
 
Wasamehe wapate Hela ya kununulia mafuta yakupaka mana sikupauka kwao huko
 
Ni suala la kuamua tu walimu waliamua kuomba kosa lao ni lipi kupata au?
 
Kwani walimu ndio walizuia vijana wa mtaani wasipate nafasi ya waandikishaji? Lakini pia zipo nafasi za BVR operators, nazo pia vijana wa mtaani wamezuiwa na walimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…