kitu cha ffffffooooodddd science n technology
:A S-baby::A S-baby:
HOngera kaka !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitu cha ffffffooooodddd science n technology
:A S-baby::A S-baby:
Umeonea wapi hizo selections kaka, coz me ndo nazitafuta kwa sana.
Jana ULILALA saa ngapi?? na leo UMEAMKA saa ngapi??
SUA mmetisha majamàa ila ladies ndo hamna!
Wapi MPIGA MSULI nyie vijana?
jamani nisaidieni nimeshindwa kuangalia selection ya sua
jaman mnatzama kwa web za chuo au vp m mbona nkfungua my profle nambia not prossed inakuaje?
Ndugu zangu wa SUA na BVM wenzangu mwaka wa masomo unaanza rasmi tarehe 15 october,sasa cjui hapo tutaenda lini?!
afu masela wa sua...kuna jamaa humu JF anaitwa BARO...yuko pande za huko pia...kama mtu ukimpata anaweza tupa ma-info ya kutosha tu kuhusu pande zile!!!
mmh xo mpango mzma hakuna orientation kozi au