Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Kiendacho kwa mganga hakirudi mjombaHahahahaa kweli kuna watu wajanja:fei kala ela za wajinga alafu waliochanga pesa ni simba..
Alafu kaenda azam duh hii inaitwa turn over a k.a u turn.
Hivi simba mnashida gani??
Mbona akili ndogo sana.
Viongozi wenu waajabu sana.
Ela imeliwa na muhuni fei toto.
Mmeshupaza shingo kiko wapìii??
Nauliza hivi kiko wapiiii..
Huu muda ungeutumia kujifundisha kuiandika lugha yako kwa ufasaha,ungefaidika sana kuliko kuja hapa na kumwaga pumba.Hahahahaa kweli kuna watu wajanja:fei kala ela za wajinga alafu waliochanga pesa ni simba..
Alafu kaenda azam duh hii inaitwa turn over a k.a u turn.
Hivi simba mnashida gani??
Mbona akili ndogo sana.
Viongozi wenu waajabu sana.
Ela imeliwa na muhuni fei toto.
Mmeshupaza shingo kiko wapìii??
Nauliza hivi kiko wapiiii..
Safi sanaKiendacho kwa mganga hakirudi mjomba
Kalale huko kinachotakiwa ni ujumbe umefika haijalishi ni kichina au kiarabuHuu muda ungeutumia kujifundisha kuiandika lugha yako kwa ufasaha ungefaidika sana kuliko kuja hapa na kumwaga pumba.
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi,acha kufuga ujinga.Kalale huko kinachotakiwa ni ujumbe umefika haijalishi ni kichina au kiarabu
Kumbe wewe kolo:Acha kujifanya mtaalam wa lugha mbu mbu fc.Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi,acha kufuga ujinga.
Halafu watu hao hao ukiwaambia watoe sadaka kanisani au kutoa msaada kwa maskini hawatoi lakini wapo tayari kupelekea wajanja wajanja ela ziliweHahahahaa kweli kuna watu wajanja:fei kala ela za wajinga alafu waliochanga pesa ni simba..
Alafu kaenda azam duh hii inaitwa turn over a k.a u turn.
Hivi simba mnashida gani??
Mbona akili ndogo sana.
Viongozi wenu waajabu sana.
Ela imeliwa na muhuni fei toto.
Mmeshupaza shingo kiko wapìii??
Nauliza hivi kiko wapiiii..
Nimeongelea uandishi wa lugha na sio ushabiki wa team,mbona unakua na akili nzito hivyo?Kumbe wewe kolo:Acha kujifanya mtaalam wa lugha mbu mbu fc.
Ujumbe hata bubu anafikisha kwa ishara
Mjini akili tu
Sasa kwa akili zako zilivyo ndogo amechanga nani??Aliyekwambia waliochanga pesa ni simba ni nani?
Wewe kolo pita hiviNimeongelea uandishi wa lugha na sio ushabiki wa team,mbona unakua na akili nzito hivyo?
Mkuu usiwasanue,acha miye na Fei tuomole kidogo kidogoHahahahaa kweli kuna watu wajanja:fei kala ela za wajinga alafu waliochanga pesa ni simba..
Alafu kaenda azam duh hii inaitwa turn over a k.a u turn.
Hivi simba mnashida gani??
Mbona akili ndogo sana.
Viongozi wenu waajabu sana.
Ela imeliwa na muhuni fei toto.
Mmeshupaza shingo kiko wapìii??
Nauliza hivi kiko wapiiii..
Aisee.Wewe kolo pita hivi
Baba ako ajanipeleka shule
Pia mama ako ajanipeleka shuleAisee.
Wewe na ice breaker ndo mnaakili:hiiii hiiii hiiiii