Mzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Masikini lkn wacha ipite tu maana walichomfanyia siyo kabisa!Unaamini kwamba ameongea hayo maneno kwa hiyari yake?
Thubutu!!
Wewe ambae sio muoga toka hadharani uonyeshe ujasiriHakuna aliye dukua,
Tatizo ni uoga tu,
Nchi hii tukijakupata viongozi wasio waoga na wanafiki tutafika mbali sana,
Maana Dhambi ya UOGA NA UNAFIKI
ndio iliotufikisha hapa,
Watu hawana uwezo wa kusimamia kauli au misimamo yao,
Anza wewe kuwatafuta. Si una miguu na mikono.Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
You should seek medical assistance. Ndugai was right, development haiji kwa kukopa. Samia is now a god in Tanganyika. Wananchi woga, kila kitu ni yeye, ameketa hela. Siyo hela zake hizo. Wake up you people.Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
mea culpa,mea culpa, mea maxima culpaMzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Haya maneno kaandikiwa , DHAIFU akayasoma tu..Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Wewe nawe unakaupumbavu ka kusema vibaya wazee utadhani wewe hautakuwa mzee soonWw lazima utakuwa ni mzee, ndio maana unaleta huu ujinga ukidhani watu hawajui lolote.
Nampongeza tu kwa kuonyesha Ubinadamu na Uungwana wake kwa Kuomba huu Msamaha ila nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Hotuba yake iliyoleta Sintofahamu imetengenezwa japo nakiri wapo ambao Ujuzi huu wanao.Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Wewe unaefahamu ukweli tuambie maana mimi naona kuna uhuni umefanyika
Wewe nawe unakaupumbavu ka kusema vibaya wazee utadhani wewe hautakuwa mzee soon
Mwanaume pekee aliebaki CCM Ni gwajiboyHaitasaidia kwa mzee kama ww hata nikikuambia. Ni hivi, mwambie Ndugai asimamie msimamo wake kama mwanaume na sio kuhofia tumbo lake.
Usimtuhumu mtu kwa hisia tu, pata uhakika kwanza wa tuhuma ndio umtuhumu. Unataka kusema hakuna clip iliyodukuliwa na kubadilishwa?Haitasaidia kwa mzee kama ww hata nikikuambia. Ni hivi, mwambie Ndugai asimamie msimamo wake kama mwanaume na sio kuhofia tumbo lake.
Acha ujinga ww. Weka clip orijino na hiyo iliyokuwa doctored acha maneno mengi.Usimtuhumu mtu kwa hisia tu, pata uhakika kwanza wa tuhuma ndio umtuhumu. Unataka kusema hakuna clip iliyodukuliwa na kubadilishwa?
Usimtuhumu mtu kwa hisia tu, pata uhakika kwanza wa tuhuma ndio umtuhumu. Unataka kusema hakuna clip iliyodukuliwa na kubadilishwa?
Ndiyo maana nakuomba Samia mwenye kheri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.