Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

Ingekuwa vizuri Ndugai atoe clip ambayo haijachakachiliwa tuone tofauti...
 
Hakuna aliye dukua,
Tatizo ni uoga tu,
Nchi hii tukijakupata viongozi wasio waoga na wanafiki tutafika mbali sana,
Maana Dhambi ya UOGA NA UNAFIKI
ndio iliotufikisha hapa,
Watu hawana uwezo wa kusimamia kauli au misimamo yao,
Wewe ambae sio muoga toka hadharani uonyeshe ujasiri
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Anza wewe kuwatafuta. Si una miguu na mikono.
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
You should seek medical assistance. Ndugai was right, development haiji kwa kukopa. Samia is now a god in Tanganyika. Wananchi woga, kila kitu ni yeye, ameketa hela. Siyo hela zake hizo. Wake up you people.
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Nampongeza tu kwa kuonyesha Ubinadamu na Uungwana wake kwa Kuomba huu Msamaha ila nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Hotuba yake iliyoleta Sintofahamu imetengenezwa japo nakiri wapo ambao Ujuzi huu wanao.
 
Wewe unaefahamu ukweli tuambie maana mimi naona kuna uhuni umefanyika

Haitasaidia kwa mzee kama ww hata nikikuambia. Ni hivi, mwambie Ndugai asimamie msimamo wake kama mwanaume na sio kuhofia tumbo lake.
 
Mwanaume pekee aliebaki CCM Ni gwajiboy
 
Haitasaidia kwa mzee kama ww hata nikikuambia. Ni hivi, mwambie Ndugai asimamie msimamo wake kama mwanaume na sio kuhofia tumbo lake.
Usimtuhumu mtu kwa hisia tu, pata uhakika kwanza wa tuhuma ndio umtuhumu. Unataka kusema hakuna clip iliyodukuliwa na kubadilishwa?
 
Acha ujinga ww. Weka clip orijino na hiyo iliyokuwa doctored acha maneno mengi.
 
Usimtuhumu mtu kwa hisia tu, pata uhakika kwanza wa tuhuma ndio umtuhumu. Unataka kusema hakuna clip iliyodukuliwa na kubadilishwa?

Uza ubongo huo mzee maana unakaa nao kwa hasara. Unadhani sisi ni maboya hatujui clip ya ukweli na famba? Au huo usanii wa Ndugai kujitetea asipoteze madaraka ndio unadhani kila mtu ataingia Hadaa yake?
 
Mzee kashachutama

Angedukuliwa asingeomba msamaha

Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Ndiyo maana nakuomba Samia mwenye kheri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom