Hizi kesi mmalizane wenyewe sisi hayatuhusu.Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ndugai alipoona wenzake sasa wanahoji uhalali wa Covid-19 kuendelea kubaki bungeni kaona aombe msamaha haya yangekuwa makubwa zaidi yanayomuhusu yeye, nchi ya aibu sana hii ndugai anapiga magoti kwa mama aliyemdharau mchana kweupeKama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Umeandika mzee au ulitaka kuandika mzembe? Huyu ni moja ya ma-pumbavu ambayo yanajua tumbo lao tu.Ww lazima utakuwa ni mzee, ndio maana unaleta huu ujinga ukidhani watu hawajui lolote.
Lakini hakuongea kigogo Bali kiswahili fasaha!😂Alikuwa anaongea na wagogo.
Inshu sio kuwa na hoja au kutokuwa nayo cha msingi je ni wakati sahihi wa kuitoa hoja yako?!!hili deni la taifa toka awamu ya tano wapinzani wamekuwa wakilipigia kelele sana, lakini majibu yalikuwa ni ya kuwabeza tena ndani ya bunge na yeye akiwemo!!kitu gani cha ajabu kimemfanya leo hii nayeye ashituke.Kifupi ni kuwa alitaka tu kumtikikisa mama na kuonyesha kuwa bado ndani ya ccm kuna watu hawajaamini kuwa kweli utawala wa awamu ya 5 ilimalizika.Na hata huo msamaha hautamuweka karibu na mama tayari ni doa.Je Ndugai alikuwa na hoja ama hakuwa na hoja?
Ujinga uliokolezwa na upumbavu usiposemwa itaonekana ni jambo LA kawaida na la kujivunia kwa mwennye nalo!Samahani mzee sintarudia tena, ila ujumbe umefika kwa huyo mzee mwenzio.
Yeye na ndugu zake wa ccm ndio waliunza mchezo huo wa udukuzi kwa kudukua sahihi ya Mnyika na kuwaruhusu covid 19 kuwepo bungeni...ngoja udukuzi umtafune, labda ajajirudi lakini sio hii ya nimekosa mimi nimekosa sana... press conference sio kanisani... vinginevyo maneno aliyotumia nayo ni dhihaka ya Sala kwa kuyatoa mahali pasipo husika...Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ajabu Sana,yaani ametoa ushauri wa maana halafu anaomba msamaha?Hili bunge ni dhaifu kupita kiasi, kipi kibaya alichoongea pale kama siyo uoga na unafiki?
Kama Spika hawezi kusimamia anachoamini kuna haja gani ya kuwa na bunge?Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Embu ficha ujinga wako wewe inzi wa lumumba!Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ujinga uliokolezwa na upumbavu usiposemwa itaonekana ni jambo LA kawaida na la kujivunia kwa mwennye nalo!
Jenga hoja kijana, hakuna dhambi MTU kuwa mzee, na Hata wewe siku moja utafikia kuitwa mzee, na umesahau tuu, pia wazazi wako ni wazee!
Huu ni ujingaKama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Tusiangalie tu hilo la kuomba radhi. Pia aliziponda bajeti zilizopita na kusifu hii ya maa.Kaminywa korodani na mama
Mipango gani? ni kiongozi mkubwa huyo na kazi ya bunge ni kusimamia serikali sio kuwa rubber stamp ya watawala, na yote aliyosema ni ya kweli kabisa na wengi ndivyo tunavyofikiria, hakutakiwa kuomba msamaha kabisa, culture ya kufikiri viongozi hawakosolewi ni ya ovyo sana na ndio maana hatuna maendeleondugai na jopo lake ni watu wazima, hapo kaomba radhi kuwapoteza maboya, kukosoa mkopo wala si kauli ya kwanza alianzia kwenye sheria mbovu zinazotungwa na mawaziri na makatibu wao zinazopitishwa kihuni bungeni , kisha alitoa kauli ya kupinga katazo la serikali la twishweni wakati wa likizo, hawa watu wanamipango yao na ifikapo wakati sahihi ndo watatoka hadharani.
Peleka ujinga wako hukoKama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Si yeye angetuletea clip ambayo haijachakachuliwa kama kweli ipo..!!Kwenye hiyo clip si alikuwa anaongea na watu? Watafutwe hao waulizwe ukweli ni upi
Hakuna aliye dukua,
Tatizo ni uoga tu,
Nchi hii tukijakupata viongozi wasio waoga na wanafiki tutafika mbali sana,
Maana Dhambi ya UOGA NA UNAFIKI
ndio iliotufikisha hapa,
Watu hawana uwezo wa kusimamia kauli au misimamo yao,
Tehe tehe!Mzee hoja yako ni nini hapa, maana nimeshakupotezea naona unanizonga tu. Unataka nikupe vitasa mpaka ukiona hii id uchanganyikiwe? Huyo peasant mwenzako nimemshampa majibu yake, na kama ww unataka kununua ugomvi sema nikurudishie ujana wako.
Haya maneno yako kwenye sala ya 'nakuungamia' wakatoliki wenzangu mnaweza kunisahihisha.....Mzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.