Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Hizi kesi mmalizane wenyewe sisi hayatuhusu.

Maendeleo hayana vyama
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ndugai alipoona wenzake sasa wanahoji uhalali wa Covid-19 kuendelea kubaki bungeni kaona aombe msamaha haya yangekuwa makubwa zaidi yanayomuhusu yeye, nchi ya aibu sana hii ndugai anapiga magoti kwa mama aliyemdharau mchana kweupe
 
Je Ndugai alikuwa na hoja ama hakuwa na hoja?
Inshu sio kuwa na hoja au kutokuwa nayo cha msingi je ni wakati sahihi wa kuitoa hoja yako?!!hili deni la taifa toka awamu ya tano wapinzani wamekuwa wakilipigia kelele sana, lakini majibu yalikuwa ni ya kuwabeza tena ndani ya bunge na yeye akiwemo!!kitu gani cha ajabu kimemfanya leo hii nayeye ashituke.Kifupi ni kuwa alitaka tu kumtikikisa mama na kuonyesha kuwa bado ndani ya ccm kuna watu hawajaamini kuwa kweli utawala wa awamu ya 5 ilimalizika.Na hata huo msamaha hautamuweka karibu na mama tayari ni doa.
Kifupi CCM wote ni wanafiki tu kwani awamu ya 5 walishangilia kuwa nchi haikopi baada ya kuaminishwa hivyo, leo hii tena wanashangilia kuwa lazima tukope tu.
 
Samahani mzee sintarudia tena, ila ujumbe umefika kwa huyo mzee mwenzio.
Ujinga uliokolezwa na upumbavu usiposemwa itaonekana ni jambo LA kawaida na la kujivunia kwa mwennye nalo!

Jenga hoja kijana, hakuna dhambi MTU kuwa mzee, na Hata wewe siku moja utafikia kuitwa mzee, na umesahau tuu, pia wazazi wako ni wazee!
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Yeye na ndugu zake wa ccm ndio waliunza mchezo huo wa udukuzi kwa kudukua sahihi ya Mnyika na kuwaruhusu covid 19 kuwepo bungeni...ngoja udukuzi umtafune, labda ajajirudi lakini sio hii ya nimekosa mimi nimekosa sana... press conference sio kanisani... vinginevyo maneno aliyotumia nayo ni dhihaka ya Sala kwa kuyatoa mahali pasipo husika...
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Kama Spika hawezi kusimamia anachoamini kuna haja gani ya kuwa na bunge?
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Embu ficha ujinga wako wewe inzi wa lumumba!
Jitu limeropoka lenyewe wewe unasema kuna waliodukua? Huna hata soni wala aibu?
Yeye aliwatisha kina jeneral ulimwengu akiwa amevaa majoho pale bungeni. Ulimsikia ndugai akisema popote kwamba sauti na video ile ya ulimwengu imedukuliwa?
Acha ahukumiwe na umma kama alivyowahukumu wakina ulimwengu
 
Huyu ndiye Ndugai na hajawahi kuwa sahihi hata siku moja pamoja na kupakatwa maisha yake yote!
Waliomsukumizia uspika wanavuna tu walichopanda...huwezi kupanda mchicha ukavuna nyanya, no no no!
 
Ujinga uliokolezwa na upumbavu usiposemwa itaonekana ni jambo LA kawaida na la kujivunia kwa mwennye nalo!

Jenga hoja kijana, hakuna dhambi MTU kuwa mzee, na Hata wewe siku moja utafikia kuitwa mzee, na umesahau tuu, pia wazazi wako ni wazee!

Mzee hoja yako ni nini hapa, maana nimeshakupotezea naona unanizonga tu. Unataka nikupe vitasa mpaka ukiona hii id uchanganyikiwe? Huyo peasant mwenzako nimemshampa majibu yake, na kama ww unataka kununua ugomvi sema nikurudishie ujana wako.
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Huu ni ujinga
 
Kaminywa korodani na mama
Tusiangalie tu hilo la kuomba radhi. Pia aliziponda bajeti zilizopita na kusifu hii ya maa.
Eti hakukukuwa na nidhamu ya bajeti. Nafikiri akibanwa tena atasema jambo.
 
ndugai na jopo lake ni watu wazima, hapo kaomba radhi kuwapoteza maboya, kukosoa mkopo wala si kauli ya kwanza alianzia kwenye sheria mbovu zinazotungwa na mawaziri na makatibu wao zinazopitishwa kihuni bungeni , kisha alitoa kauli ya kupinga katazo la serikali la twishweni wakati wa likizo, hawa watu wanamipango yao na ifikapo wakati sahihi ndo watatoka hadharani.
Mipango gani? ni kiongozi mkubwa huyo na kazi ya bunge ni kusimamia serikali sio kuwa rubber stamp ya watawala, na yote aliyosema ni ya kweli kabisa na wengi ndivyo tunavyofikiria, hakutakiwa kuomba msamaha kabisa, culture ya kufikiri viongozi hawakosolewi ni ya ovyo sana na ndio maana hatuna maendeleo
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Peleka ujinga wako huko
 
Aboud Jumbe, Prof Assad, Horace Kolimba, Bibi Titi Mohamed, Edwin Mtei n.k
Hakuna aliye dukua,
Tatizo ni uoga tu,
Nchi hii tukijakupata viongozi wasio waoga na wanafiki tutafika mbali sana,
Maana Dhambi ya UOGA NA UNAFIKI
ndio iliotufikisha hapa,
Watu hawana uwezo wa kusimamia kauli au misimamo yao,
 
Mzee hoja yako ni nini hapa, maana nimeshakupotezea naona unanizonga tu. Unataka nikupe vitasa mpaka ukiona hii id uchanganyikiwe? Huyo peasant mwenzako nimemshampa majibu yake, na kama ww unataka kununua ugomvi sema nikurudishie ujana wako.
Tehe tehe!

Nasomeka kama new member, lkn...!! Tehe tehe!! Tindo, anza tena Leo kuiogopa hiyo I'd mkuu!!
 
Mzee kashachutama

Angedukuliwa asingeomba msamaha

Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Haya maneno yako kwenye sala ya 'nakuungamia' wakatoliki wenzangu mnaweza kunisahihisha.....
 
Back
Top Bottom