Unaamini Maneno ya mwanasiasa?Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ujumbe ulishafika hakuna wasiwasi.Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Nina PhD ya maganda ya korosho kama mwendakuzimu!!kweli mpambe hana dhamana, baada ya jambazi sabaya kula mvua tayari umeshamtosa, siku hizi hata habari zake huna!!sasa uko kwa mzee wa safura!!Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
Hakika ameongea kimwili ila kiroho amewaogopa wasiojulikana part 2.Unaamini kwamba ameongea hayo maneno kwa hiyari yake?
Thubutu!!
Anaogopa kuondolewa kwenye chamaAjabu Sana,yaani ametoa ushauri wa maana halafu anaomba msamaha?
CCM ni genge la wahuni na wasaka fursa, katiba mpya hawaongelei subiri siku maza aseme mchakato uanze utawasikia wanasifu na kupongeza na ujinga mwingi sn, Ndugai ni mtu wa hovyo hata kama hoja yake ni ya msingi lakini jamii inamdharau sababu ya matendo yake ya kishetani.Inshu sio kuwa na hoja au kutokuwa nayo cha msingi je ni wakati sahihi wa kuitoa hoja yako?!!hili deni la taifa toka awamu ya tano wapinzani wamekuwa wakilipigia kelele sana, lakini majibu yalikuwa ni ya kuwabeza tena ndani ya bunge na yeye akiwemo!!kitu gani cha ajabu kimemfanya leo hii nayeye ashituke.Kifupi ni kuwa alitaka tu kumtikikisa mama na kuonyesha kuwa bado ndani ya ccm kuna watu hawajaamini kuwa kweli utawala wa awamu ya 5 ilimalizika.Na hata huo msamaha hautamuweka karibu na mama tayari ni doa.
Kifupi CCM wote ni wanafiki tu kwani awamu ya 5 walishangilia kuwa nchi haikopi baada ya kuaminishwa hivyo, leo hii tena wanashangilia kuwa lazima tukope tu.
Ccm bila unafiki hutoboiiii!!ni watu wa kwenda na upepo tu!!yalikuwa yanasema nchi kukimbilia mikopo ni utumwa, na kumbe jamaa alikuwa ana kopa, leo yanasema tena bila mikopo HATUTOBOIII!!CCM ni genge la wahuni na wasaka fursa, katiba mpya hawaongelei subiri siku maza aseme mchakato uanze utawasikia wanasifu na kupongeza na ujinga mwingi sn, Ndugai ni mtu wa hovyo hata kama hoja yake ni ya msingi lakini jamii inamdharau sababu ya matendo yake ya kishetani.
Haya ni majangili tupuCcm bila unafiki hutoboiiii!!ni watu wa kwenda na upepo tu!!yalikuwa yanasema nchi kukimbilia mikopo ni utumwa, na kumbe jamaa alikuwa ana kopa, leo yanasema tena bila mikopo HATUTOBOIII!!
Ili itusaidie nini?mafisi yakikulana na kugombana,Haina hasara kwetu,Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Darasa husaidia vipi kujenga hoja wewe mbulula? Kawaulize kina lusinde, jah people na msukuma waliopo kule bungeni na wanakutungia sheria na kukuwekea bajeti ya Ile na utibiweje waliishia darasa la ngapi!Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
Aombae msamaha ina maana ameliona au kulijua kosa lake! hakuna waliodukua wala wa kuchonganisha mihimili, kazi iendelee!Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ni shauri ya NJAA na kujilimbikizia maliHakuna aliye dukua,
Tatizo ni uoga tu,
Nchi hii tukijakupata viongozi wasio waoga na wanafiki tutafika mbali sana,
Maana Dhambi ya UOGA NA UNAFIKI
ndio iliotufikisha hapa,
Watu hawana uwezo wa kusimamia kauli au misimamo yao,
Mbona atakamatwa yeye mwenyewe Ndugai?.Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
We jamaa, MWENZIO KESHAJILA KICHWA TAYARI... endelea kumtetea... Halafu una bahati mbaya, kila unayeonyesha kumtetea lazima yamkute.. Ulianza na Sabaya, akaliwa mvua.. sasa Ndugai, kajiudhuru..!!! Tetea wengine nao yawakuteWewe unajua nini kuhusu kesi na justice system?