Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

Hata kama unalipwa, hakikisha unalipwa kwa kutumia akili hata kidogo we jamaa!!
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Unaamini Maneno ya mwanasiasa?
 
Jamaa halielewi hata maana ya kudukuliwa!!yaani mtu yuko ukumbini ana hutubia, clip yake inatoka unasema kadukuliwa!!ila mama ameshapata sura halisi ya Ndugai!!
Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ujumbe ulishafika hakuna wasiwasi.
 
Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
Nina PhD ya maganda ya korosho kama mwendakuzimu!!kweli mpambe hana dhamana, baada ya jambazi sabaya kula mvua tayari umeshamtosa, siku hizi hata habari zake huna!!sasa uko kwa mzee wa safura!!
 
Inshu sio kuwa na hoja au kutokuwa nayo cha msingi je ni wakati sahihi wa kuitoa hoja yako?!!hili deni la taifa toka awamu ya tano wapinzani wamekuwa wakilipigia kelele sana, lakini majibu yalikuwa ni ya kuwabeza tena ndani ya bunge na yeye akiwemo!!kitu gani cha ajabu kimemfanya leo hii nayeye ashituke.Kifupi ni kuwa alitaka tu kumtikikisa mama na kuonyesha kuwa bado ndani ya ccm kuna watu hawajaamini kuwa kweli utawala wa awamu ya 5 ilimalizika.Na hata huo msamaha hautamuweka karibu na mama tayari ni doa.
Kifupi CCM wote ni wanafiki tu kwani awamu ya 5 walishangilia kuwa nchi haikopi baada ya kuaminishwa hivyo, leo hii tena wanashangilia kuwa lazima tukope tu.
CCM ni genge la wahuni na wasaka fursa, katiba mpya hawaongelei subiri siku maza aseme mchakato uanze utawasikia wanasifu na kupongeza na ujinga mwingi sn, Ndugai ni mtu wa hovyo hata kama hoja yake ni ya msingi lakini jamii inamdharau sababu ya matendo yake ya kishetani.
 
Ccm bila unafiki hutoboiiii!!ni watu wa kwenda na upepo tu!!yalikuwa yanasema nchi kukimbilia mikopo ni utumwa, na kumbe jamaa alikuwa ana kopa, leo yanasema tena bila mikopo HATUTOBOIII!!
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ili itusaidie nini?mafisi yakikulana na kugombana,Haina hasara kwetu,
Badala ya kusaka watu watumishi majizi yanayokula pesa ya umma kwa Kuongeza gharama kwenye tender,kuanzisha miradi isiyo na tija Ili kupiga pesa,kulipana posho kwa kazi hewa,kama wale wa hazina waliopiga milioni 500 kama posho kwa wiki.we unataka tusake watu walipotosha alichosema mgogo!inaamaana hao watucwalifoji mpaka sauti yake na maneno!!?hao lazima watakuwa majasusi wa israel au CIA!
 
😁😁😁
s_Uh.jpg
 
Umeishia darasa la ngapi we pimbi?
Darasa husaidia vipi kujenga hoja wewe mbulula? Kawaulize kina lusinde, jah people na msukuma waliopo kule bungeni na wanakutungia sheria na kukuwekea bajeti ya Ile na utibiweje waliishia darasa la ngapi!
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Aombae msamaha ina maana ameliona au kulijua kosa lake! hakuna waliodukua wala wa kuchonganisha mihimili, kazi iendelee!
 
Hakuna aliye dukua,
Tatizo ni uoga tu,
Nchi hii tukijakupata viongozi wasio waoga na wanafiki tutafika mbali sana,
Maana Dhambi ya UOGA NA UNAFIKI
ndio iliotufikisha hapa,
Watu hawana uwezo wa kusimamia kauli au misimamo yao,
Ni shauri ya NJAA na kujilimbikizia mali
 
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa

Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.

Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Mbona atakamatwa yeye mwenyewe Ndugai?.
 
Wewe unajua nini kuhusu kesi na justice system?
We jamaa, MWENZIO KESHAJILA KICHWA TAYARI... endelea kumtetea... Halafu una bahati mbaya, kila unayeonyesha kumtetea lazima yamkute.. Ulianza na Sabaya, akaliwa mvua.. sasa Ndugai, kajiudhuru..!!! Tetea wengine nao yawakute
 
Back
Top Bottom