BUMIJA MOSES
Member
- Aug 27, 2020
- 75
- 85
Hakuna mtu aliyedukua hotuba. Hata leo hajabadilisha kauli ya ukubwa wa madeni na hatari iliyo mbele yetu ya nchi kupigwa mnadaKama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.