Walioenda Kings Music walikosea sana

Walioenda Kings Music walikosea sana

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time.

Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground.

Kama Kiba ameishiwa mashairi ya kutoa ngoma awaachie madogo wafanye muziki.

Anataka hao madogo wale nini wakati 98% wanategemea muziki?
 
Utofauti na upekee nao una matter sometimes.
 
Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time.

Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground.

Kama Kiba ameishiwa mashairi ya kutoa ngoma awaachie madogo wafanye muziki.

Anataka hao madogo wale nini wakati 98% wanategemea muziki?
Sasa wale ni wanamziki au wanamapambio ebooooooooooooh be carefully with your heart
 
Back
Top Bottom