Walioenda Kings Music walikosea sana

Walioenda Kings Music walikosea sana

Kwa kumkosa tu harmonize ni pengo kubwa sana .. ata rayvanny hawezi kamwe kuingiza kipato kama cha mumakonde alichokuwa anapeleka pale
Baada ya huu uzi Naomba tuanziahie mwingine kuhusu lavalava. Hivi analeta faida pale wasafi?
 
Kwa kumkosa tu harmonize ni pengo kubwa sana .. ata rayvanny hawezi kamwe kuingiza kipato kama cha mumakonde alichokuwa anapeleka pale
harmonize alikua anaingiza shingapi WCB na rayvany anaingiza shingapi?
 
Inawezekana Yeeebabah popiriin aliwalazimisha madogo kuingia kwenye mziki,kisa tu alitaka na yeye awe na lebo ashindane na diamond,
Nadhani watakuwa wamezira sasa,maana wameona hali ni ngumu kila kona wakipita wanasikia WCB wasafi.
Yoooh Yeeebabah popiriin,
Ali k mchizi wa geto.
 
na ndio chanzo kikubwa cha ndoa ya bwana asiyependa show off kuvunjika!
 
Back
Top Bottom