Walioenda Kings Music walikosea sana

Walioenda Kings Music walikosea sana

Tuweke ushabiki pembeni tuongee fact,Ali kiba majivuno mengi na dharau kibao sio kwa mashabiki,watangazaji hata wasanii wenzake refer suala la kumkaushia konde boy alipompa mkono msibani.ndo maana hata clouds fm walijaribu kumpromote kwa nguvu zao zote lakini ilishindikana now ni kama wamemtosa HABEBEKI HATA KWA MBELEKO
 
mleta Mada alikiba alikukoseaga nn??
hunaga kazi ya kufanya??
Lengo langu hao madogo alikiba awaachie wafanye mziki underground gani wanaotafuta majina kwenye mziki unawaambia watoa ngoma moja au mbili kwa mwaka we umeona wapi hili?
 
Sisi mashabiki wa king music hata wasipotoa ngoma kwa miaka mitano tunaendelea kusikiliza zilizopo wala hatuna shida hata alikiba asipotoa ngoma miaka 10 tutaendelea kusikiliza alizotoa toka anaanza mziki..

Sasa nyie mashabiki wa WCB sielewi mnaumia nini na alikiba wakati mnatoa ngoma kila siku na mnasema mmemzidi kwa kila kitu.
 
Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time.

Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground.

Kama Kiba ameishiwa mashairi ya kutoa ngoma awaachie madogo wafanye muziki.

Anataka hao madogo wale nini wakati 98% wanategemea muziki?
Sasa hivi mtanange ni kati ya Harmonize na Diamond. Ali kiba na kikundi chake cha ngonjera wameshakwenda na maji..
 
Mleta mada ungekuwa karibu ningekununulia mzinga wa konyagi chupa kubwa na supu ya mkia wa mbuzi hili jambo nimeshaliseema Mara kibao tu hao madogo wamepotea njia tena wamepotea kwelikweli kiba na menejiment yake hawajui jinsi ya kufanya promotion na kuwa market wasanii wao ukizingatia msanii underground anahitaji promo kubwa ili atusue yule cheusi wa mwanza baraka alipotea kizembe sana baada ya kwenda rockstar kwasababu hii hii
 
Huyo chinga ananini cha maana ? Ubunifu ziro, hayupo realy kabisa kila kitu alikuwa ana copy na kupaste kutoka kwa bosi wake.
Inshu siyo kukopi inshu Je ni watu wanakipokeaje hicho ulichokikopi? Kiukweli konde boy nyota ya kukubalika anayo na ndio msanii aliyekuwa anaingiza pesa ndefu wasafi japokuwa mwanzo nilikuwa simuelewi kusound the same as mond
 
Kuba mmoja anaimba kama shoga sitakagi hata kumsikia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom