Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

Mbuzi Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
348
Reaction score
82
Kama kuna mwalimu alieenda Tamisemi hebu tupeni feedback ya huko hasa wale walioclear supp zao watapata ajira au ni au wafanyeje ili kupata ajira zao.
Nawasilisha
Karibuni
 
Vitu vitu muhim beba chet cha chuo ingia tamisem na barua wah kabla ya saa 6 mchana utapata ajira
 
Mim ni moja kat majina yaliosahaulika ila nimesolve toka juz nimeweka kambi dom hapa muda huu niko ndan hum tamisemi.
 
Wakuu habari zenu kutokana na mabadiliko kuendelea na kutolewa list ya majina ya walimu wa sanaa,biashara na walimu wa sayansi na hisabati kuna haja walimu hao kwenda kuripoti kwenye vituo walivyopangiwa maana kama kujua sehemu wanazokwenda wameshajua toka siku walipotoa mjina hayo au wasubiri list itakayo tolewa upya maana huenda kukatokea mabadiliko, pili katika mkoa wa morogoro hasa wilaya ya Ulanga hakuna hata mwalimu mmoja wa cheti aliyeapangiwa wilaya hiyo. Swali langu ni kwamba walaya hiyo ya Ulanga walimu wa shule za msingi wametosha au laa maana kuna maeneo wanajenga shule mfano maeneo ya nalukoo katika wilaya hiyo, je walimu wa shule za msingi wametosha. Ni hayo tu wadau kama kuna mtu anajua zaidi ya hapo anakaribishwa kutujuza . Nawasilisha
 
hakuna mabadiliko katika walimu wa shule za msingi mabadiliko ni kwa ajili ya walimu wa sekondari hususani wa chuo cha sekomu tu na wale ambao majina yao hayajaonekana kwenye list ila waliopangiwa katika list ya kwanza mabadiliko hakuna watabaki na vituo vilevile vya mwanzo source tamisemi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…