Mbuzi Mzee
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 348
- 82
Kama kuna mwalimu alieenda Tamisemi hebu tupeni feedback ya huko hasa wale walioclear supp zao watapata ajira au ni au wafanyeje ili kupata ajira zao.
Nawasilisha
Karibuni
Nawasilisha
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli..
Ngoja waje
Napita Njia 🐢🐢🐢🐢
Vitu vitu muhim beba chet cha chuo ingia tamisem na barua wah kabla ya saa 6 mchana utapata ajira[/QUOTE
Ya lini hiyo saa 6 ?
Vipi ukutuma barua na vyeti copy posta haitazingua?Vitu vitu muhim beba chet cha chuo ingia tamisem na barua wah kabla ya saa 6 mchana utapata ajira
Mim ni moja kat majina yaliosahaulika ila nimesolve toka juz nimeweka kambi dom hapa muda huu niko ndan hum tamisemi.
Tar ya kurpot haijabadilika na majina muda wowote yatakuwa hewan kuanzia sasa.niko hapa tamisemi dodoma.