Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mdau tunasubiri hizo updates ili tujue maana watu wanashinda mitandaoni daily wakiwasikilizatamisemiJe vituo vya awali vitabadilika ama?
Tar ya kurpot haijabadilika na majina muda wowote yatakuwa hewan kuanzia sasa.niko hapa tamisemi dodoma.
Wadau kwa wale waliokuwa na supp badae waka clear mkurugenz amesema wana haki ya kuajiri tatiz hawakupelekea majina tu.
Haya mdau tunasubiri hizo updates ili tujue maana watu wanashinda mitandaoni daily wakiwasikilizatamisemi
Waliopangiwa masomo ambayo hawakusomea hilo linafanyiwa kaz na ofisi