Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

Wadau kwa wale waliokuwa na supp badae waka clear mkurugenz amesema wana haki ya kuajiri tatiz hawakupelekea majina tu.
 
Tar ya kurpot haijabadilika na majina muda wowote yatakuwa hewan kuanzia sasa.niko hapa tamisemi dodoma.

Mkuu Nikimu, vipi kuhusu vituo vilivyopangwa awali kuna uwezekano hiyo orodha mpya ikabadilisha vituo vya watu kuripoti?
 
Makamanda nendeni kwenye vituo mlivo pangwa kabla ya tar 9 lasivo itakula kwa mtu
 
Vituo vya awali havibadilishwi ila ikitokea bahat mbaya itabidi ukaripoti katka orodha mpya
 
Walio clear supp na taarifa zao kama wezileta hapa kabla ya muda wakaz jana majina yao pia yataunganishwa hewan leo.
 
Taarifa zako unatakiwa upeleke mwenyew ama mtu yeyeto anaweza kukupelekea tamisemi NI VYETI VYA CHUO NA BARUA YAKO WEWE.
 
Waliopangiwa masomo ambayo hawakusomea hilo linafanyiwa kaz na ofisi
 
Back
Top Bottom