Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Halafu binamu kajala alikuwa tayari staa kabla ya kuwa shost yake wema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu binamu kajala alikuwa tayari staa kabla ya kuwa shost yake wema
Mange alikuwa maarufu toka enzi hizo,hajapata umaarufu kwa mgongo wa mtu.
4.Mange kimambi
Huyu alipata umaarufu kupitia mastaa kadhaa wa Tasnia mbali mbali apa bongo, alianza kuzinguana kwenye blogs na msanii wa maigizo Sintah, Ray( kuhusu kifo cha Kanumba), Shigongo na wengine kadhaa, wengi walitaka kumjua ni mtu wa aina gani baada ya kuanzisha bifu na mastaa wa bongo, hatimaye akajikuta akiogelea umaarufu.
5.Chaga Barbie
Huyu alijipatia umaarufu baada ya kujihusisha kimapenzi na msanii wa Kenya Prezzo, jina lake lilivuma zaidi pale walipozinguana na Prezoo hadi kufikia hatua ya kutoleana maneno mbofu mbofu mitandaoni. Ni kati ya watu wanaofuatiliwa sana mitandaoni.
10. Kajala Masanja
Kwenye mtandao wa instagram ana followers karibia elfu thelathini na kitu, wote wametokana na promo ya maana kwa shoga yake Wema Sepetu, kutolewa rumande na Wema Sepetu kumemuongezea umaarufu zaidi na kuwa miongoni mwa watu wanaozungumzwa sana, jina la kajala limekaa sana mdomoni mwa Wema Sepetu, hivyo kumfanya apate mashabiki wengi zaidi kupitia Wema. Ni mcheza filamu za kibongo.
mbona pett man wakuache alishakuwa staa hatakabla ya domo na mama ubaya (wema) jamaa alikuwa muigizaji kwenye maigizo ya mambo hayo na alicheza kama Abdul ambae mpaka Leo mama Abdul mtangazaji ccm radio anatumia bado jina hilo kupata mkate mjini na Romy pia alikuwa mtangazaji pale samabaza upendo tv pia alikuwa analazimisha kuimba ikashindikana ila wote Leo hii wanaishi kwa nyroro la mama ubaya na baba ubaya
Mange mtoe hapo huyo maarufu kitambo kaka,labda kama umemjua enzi hizi........Mange kamtoa Wema,ni daughter pia wa mfanyabiashara maarufu enzi hizoo......socialite wa long time....
Mbona mi naona kama hawa hawakustaili kuwa kwenye list? Hawa wapo masikioni mwa watu tangu enzi, hizo sababu ulizoweka ni kama ziliwaongezea tu umaarufu coz wao walikua tayari wanajulikana before.
Ila ni mtazamo wangu.
Hivi Vencha sijui anaitwa (Venture),kwenye verse kibao katajwa sana na wasanii wa hip hop,anahusika na nn hasa?