Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
No kajala alianza kufahamika kupitia p funk majani nakumbuka, jina likazidi kukua akaingia kwenye filamu, ila alipojiweka karibu na sepetunga umaarufu ukaongezeka.
Hahahahaha chezea mama ubaya wewe!