Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

Halafu binamu kajala alikuwa tayari staa kabla ya kuwa shost yake wema
 
Mange mtoe hapo huyo maarufu kitambo kaka,labda kama umemjua enzi hizi........Mange kamtoa Wema,ni daughter pia wa mfanyabiashara maarufu enzi hizoo......socialite wa long time....
 
Kajala naye alikuwa tayari staa.....wadada wa mjini wanajulikana siku nyingi.....Kajala alikuwa dancer na amezaa na P.Funk Majani enzi hizo hata Wema bado mtoto.
 
Rommy Jons kama sikosei alishawahi kuwa producer wa XXL na mtangazaji wa Cloudz TV
 
mbona pett man wakuache alishakuwa staa hatakabla ya domo na mama ubaya (wema) jamaa alikuwa muigizaji kwenye maigizo ya mambo hayo na alicheza kama Abdul ambae mpaka Leo mama Abdul mtangazaji ccm radio anatumia bado jina hilo kupata mkate mjini na Romy pia alikuwa mtangazaji pale samabaza upendo tv pia alikuwa analazimisha kuimba ikashindikana ila wote Leo hii wanaishi kwa nyroro la mama ubaya na baba ubaya
 
Kajala ni siku nyingi anajulikana..toka miaka ya 99 anacheza kwenye concert na kufanya fashion show alikuwa na rafiki yake rose.enzi hizo wanasoma jitegemee.
 
Mange alikuwa maarufu toka enzi hizo,hajapata umaarufu kwa mgongo wa mtu.

huyu ni blogger, alikuwa anafahamika ila sio kihivyo hata kidogo, baada ya kuanzisha bifu na mastaa ndipo watu wakaanza kufuatilia blog yake kwa wingi ambayo imeshehen kila aina ya matusi, anafahamika zaidi na wadada wa mujini
 
mi kuna wengine bado sijawwajua mpk leo kama jhuyo chaagga na mange....
 
Halafu binamu kajala alikuwa tayari staa kabla ya kuwa shost yake wema

No kajala alianza kufahamika kupitia p funk majani nakumbuka, jina likazidi kukua akaingia kwenye filamu, ila alipojiweka karibu na sepetunga umaarufu ukaongezeka.
 

Mbona mi naona kama hawa hawakustaili kuwa kwenye list? Hawa wapo masikioni mwa watu tangu enzi, hizo sababu ulizoweka ni kama ziliwaongezea tu umaarufu coz wao walikua tayari wanajulikana before.

Ila ni mtazamo wangu.
 

Ok, ahsante kwa taarifa ila peti asingefahamika kama isingekuwa wema sepetu, kama upivyosema aliwahi kuigiza kitambo, wengi ndo tunajua sasa ivi, so big up to madame,romy nae aliwah kufanya clouds ila hakuwahi kufahamika kama ivi sasa alipokuwa karibu na ndomo
 
Jina jipyaa mama ubaya na baba ubayaaa aisee umaarufu mbaya sanaaa
 
Mange mtoe hapo huyo maarufu kitambo kaka,labda kama umemjua enzi hizi........Mange kamtoa Wema,ni daughter pia wa mfanyabiashara maarufu enzi hizoo......socialite wa long time....

Inawezekana nimemjua kipindi hchi, ila ninavyojua mange anafahamika zaidi kuwa ni mkorofi na ni kupitia mastaa ndipo alipoanza kufahamika kihivyo, hata kama aliwahi kujulikana nyyma ila sio kama sasa ivi
 
Mbona mi naona kama hawa hawakustaili kuwa kwenye list? Hawa wapo masikioni mwa watu tangu enzi, hizo sababu ulizoweka ni kama ziliwaongezea tu umaarufu coz wao walikua tayari wanajulikana before.

Ila ni mtazamo wangu.

Uko sahihi, ila sababu nilizozitaja zimechangia zaidi wao kufahamika hlo halina ubishi
 
Jina jipyaa mama ubaya na baba ubayaaa aisee umaarufu mbaya sanaaa

Mjin raha binamu, igunga sirudi ng'oo , haya mautamu yote ningeyapatia wapi, kumbe kuna watu wanajua mambo humu aiseeeh
 
Hivi Vencha sijui anaitwa (Venture),kwenye verse kibao katajwa sana na wasanii wa hip hop,anahusika na nn hasa?

Ma Radio and TV presenters wote wa Clouds Media wanasema wao ni ma star.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…