Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
No kajala alianza kufahamika kupitia p funk majani nakumbuka, jina likazidi kukua akaingia kwenye filamu, ila alipojiweka karibu na sepetunga umaarufu ukaongezeka.
Halafu binamu kajala alikuwa tayari staa kabla ya kuwa shost yake wema
Uko sahihi, ila sababu nilizozitaja zimechangia zaidi wao kufahamika hlo halina ubishi
Kajala maarufu kitambo, toka enzi za kina Nina, Sinta, Miriam Ikoa, ndiyo maana aliingia ktk wimbo wa J Mo, Kama unataka demu.
Kajala maarufu kitambo, toka enzi za kina Nina, Sinta, Miriam Ikoa, ndiyo maana aliingia ktk wimbo wa J Mo, Kama unataka demu.
Mange alikuwa maarufu toka enzi hizo,hajapata umaarufu kwa mgongo wa mtu.
Hivi Vencha sijui anaitwa (Venture),kwenye verse kibao katajwa sana na wasanii wa hip hop,anahusika na nn hasa?
Kuna mmoja namuona insta anajiita martinkadinda jamaa wa misifa sana kupiga mapicha kama watotot wa kike kila sehem picha,simjui ni nani huyu?
mbona pett man wakuache alishakuwa staa hatakabla ya domo na mama ubaya (wema) jamaa alikuwa muigizaji kwenye maigizo ya mambo hayo na alicheza kama Abdul ambae mpaka Leo mama Abdul mtangazaji ccm radio anatumia bado jina hilo kupata mkate mjini na Romy pia alikuwa mtangazaji pale samabaza upendo tv pia alikuwa analazimisha kuimba ikashindikana ila wote Leo hii wanaishi kwa nyroro la mama ubaya na baba ubaya
Huyo kifesi hana lolote...he is a retarded moron
mwenzangu hadi mm, ila haina ubishi madame ndo kawapa umaarufu sana
Kajala kawa Maarufu kitambo na sana sana baada ya kuishi na kuzaa na P Funk hayo ya Wema ya juzijuzi tu mtoto tangu enzi za Oysterbay line police na Mbuyuni Primary school alikuwa hajatulia huyo.
Alikuwa anafahamika na watoto wa mujini ila sio kihivyo kama sasa ivi alivyokuwa na wema I'm telling u binamu