umenielewa sana mkuuMu
Na ndipo hapo ninapoiunga Mkono ile hoja ya mh.Ally Kessy,mbunge wa NKASI pale aliposema WATAMLAZIMISHA MH.MAGUFULI AGOMBEE KWA MARA YA 3....
Wanajamvi liinchi hili LILISHAPOTEA....
WANANCHI tulishakata tamaa...
Hakukuwa na mwanga kwetu na kwa kizazi CHETU......
UKIMUONA MTU ANAMPINGA MH.MAGUFULI BASI UJUE HUYO IMA HAELEWI,HAJIELEWI AMA NDIO WALE MAKUWADI WA WAPIGAJI...
ARDHI ARDHI ARDHI ARDHI ARDHI
Miaka ya nyuma huko nilipokuwa chuo kikuu nilipata kukutana na mwanafunzi mwenzangu raia wa Kenya alinidokeza jambo lililonishtua Sana....umenielewa sana mkuu
Hayupo humuCC: waziri simbachawene
najua hilo lakini sheria ya ardhi itawanyooshaWapo consistent sana inahitaji nguvu na mkakati wa hali ya juu.
wamekuja kupiga hawakote walipoenda kuna rasilimali za kutosha