Waliofanya kampuni ya SINO huko Morogoro ni tip of the Iceberg!

Waliofanya kampuni ya SINO huko Morogoro ni tip of the Iceberg!

Hijasikiliza taarifa za leo?
Na siyo mimi tu nadhani ni wengi tunaopitwa na habari za kwenye televisheni ama redio kwa sababu mbali mbali tunatarajia tukiingia huku tunapata japo kwa ufupi
 
Na siyo mimi tu nadhani ni wengi tunaopitwa na habari za kwenye televisheni ama redio kwa sababu mbali mbali tunatarajia tukiingia huku tunapata japo kwa ufupi
kuna thread humu inahusu SINO fuatilia mkuu
 
Kule Arusha aliahidi kujenga kituo cha watoto yatima akazungushia uzio na kuanza kulima bangi.😁

Mawakili pia huwasaidia sana hao wageni kwenye kutumia hizo loopholes za sheria zetu kupora.

Nakumbuka makala za Adv Mawala akijibu tuhuma za kutumikia wageni dhidi ya taifa lake!

"Shida ni sheria zetu"
 
  • Thanks
Reactions: Uda
Rais Magufuli inabidi afanye kazi ya ziada kuhusu ardhi irudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi wanateseka
Ingefaa sana ardhi irudishwe lakini itassidia nini Wananchi wengi wavivu. Wakazi wa Moro ni wavivu sana sawa na Pwani.
Wakulima wengi Moro wanatokea Kilimanjaro, Arusha, Singida na usukumani
 
Watanzania kuna namna tukiona watu wa rangi wawe wazungu, warabu au wahindi mara kwa mara tunaonekena kuwaamini.

Kumbe wengine sio wote ni makanjanja kwa kuchukua ardhi kama wawekezaji ila nyuma ya pazia sio.

Tanzania hii hii kuna wazungu walimuaminisha kama sio era ya JK mwishoni basi ni JPM wakati ndo anaingia. Hao wajerumani walitoa ahadi mbele ya Camera kuwa wanajenga industry ya mbole kubwa kuliko zote East and Central Africa.
Mpaka sasa hiyo industry haipo.

Tanzania kumbuka tuna import mbolea na viwatilifu toka Ulaya, China na India.

Iko haja ubia wa sekta binafsi na sekta ya umma ukawa customized ili ku head hunt local patriots ambao wana jicho la kibunifu kwenye uwekezaji.

Haya ya akina SINO, bila shaka ni huyu mmoja kamulikwa na kuna uwezekano wako wengi tu wamejificha kinamna.

Anyway, tuwape wakubwa kufanya sehemu yao, maana wana vyombo na wana mamlaka kikatiba kucheza nafasi zao.
 
Hao hao wapewe wafanye uzalishaji
Ingefaa sana ardhi irudishwe lakini itassidia nini Wananchi wengi wavivu. Wakazi wa Moro ni wavivu sana sawa na Pwani.
Wakulima wengi Moro wanatokea Kilimanjaro, Arusha, Singida na usukumani
 
Kule Arusha aliahidi kujenga kituo cha watoto yatima akazungushia uzio na kuanza kulima bangi.😁

Mawakili pia huwasaidia sana hao wageni kwenye kutumia hizo loopholes za sheria zetu kupora.

Nakumbuka makala za Adv Mawala akijibu tuhuma za kutumikia wageni dhidi ya taifa lake!

"Shida ni sheria zetu"
Asante kwa kutambua hili la mawakili kuwafunza mbinu ovu wageni
 
Mimi ninachokiona hapa ni upigaji tu,

Yaani wanaona mgeni ana pesa basi wanamrubuni kwa kumpa ardhi ambayo kisheria hawezi miliki.
Hadi mgeni anaota pembe na kubehave kama diwani au mzee wa usharika
 
Tanzania imekumbwa na wimbi la wageni kutoka nje ambao huja na ulaghai kwa viongozi wa vijiji na vitongoji na kujimilikisha ardhi kilaghai.

Wengi wa wageni hasa kutoka magharibi wanakuja na gia ya kujenga shule au zahanati au mradi wa maji katika sehemu ndogo ya ardhi inayoombwa kwa vijiji. baadae huanzisha miradi yao mingine kama hoteli za kitalii,viwanda n.k kwa nia ya kujipatia fedha tena bila kulipa kodi.

Maeneo mengi ambayo ni strategic kama vile hifadhi za Taifa,maeneo yenye madini n.k ndio sehemu wanazoenda kuzishika na kuestablish himaya zao kwa kuwanunua wazee wa kimila ,viongozi wa vijiji na watendaji wa Serikali. Ukitazama maeneo mengi yenye migogoro ya ardhi nyuma yake yupo muwekezaji flani kutoka ughaibuni.

Yapo maeneo nimewahi kutembelea unakuta kuna vibao vingi vya muwekezaji kuliko vibao vinavyoashiria uwepo wa Serikali...hii ni fedheha na ukoloni mamboleo.

Wizara ya ardhi mambo ya ndani fungueni macho na kuchukua hatua.
hiyo ndio CCM
 
Rais Magufuli inabidi afanye kazi ya ziada kuhusu ardhi irudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi wanateseka
Ndio mumeo. Kwanini usiseme sheria zirekebishwe. Unadhani atakuwa kiongozi milele?
 
Back
Top Bottom