Waliofuata Mkumbo na kupewa kesi ya Uhaini wamesamehewa, Waliokufa je?

Waliofuata Mkumbo na kupewa kesi ya Uhaini wamesamehewa, Waliokufa je?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha?

Nafikiri huu unaoitwa msamaha lengo lake ni kutaka kusamehewa na yeye.

Umetengeneza tatizo halifu unjifanya kulitatua ili upongezwe. Inshort kwa kesi ya Uhaini maana yake walitaka kunyonga na hao manusura.

Muungano umetikiswa na Dini zimetikiswa. Usalama wa Taifa kazi kwenu kuziba nyufa
 
Hivi policcm watatumia teknolojia gani kuwatambua hao vijana waliofuata mkumbo na wale ambao hawakuufuata huo mkumbo?

Siyo kwamba yatatengenezwa mazingira ya rushwa na pia kuangushiana majumba mabovu?
 
Back
Top Bottom