Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Ameiba kura!!Stop kueneza this cheap and nonsense politics. Wewe uliekomaa umefanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameiba kura!!Stop kueneza this cheap and nonsense politics. Wewe uliekomaa umefanya nini?
Hii ni kama binti aliyewakosea wazazi na anaogopa kurudi nyumbani kuomba kwa wazaziHuyu dada nilikuwa namkubali sana aisee... Lakini kaniangusha sana leo Halima wakuiogopa chadema kwamba katishwa hawezi kuhudhuria muito alioitwa na wenzake?? Yani kwamba chadema wanaweza kumdhuru Halima na wenzio?
Ulitaka wazubae mgogoro ukue uwe km ule wa cuf? Walichofanya ndo kukomaa kisiasa... Hatuwezi fuga mapapa kwenye chama wanaojiamulia wanavyotaka! Hata ccm hawawezi kuendekeza huo ujinga!Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!
Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
HIVI wee ndio mshauri wao?Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!
Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Huyu dada amepambana sanaKusema ukweli Magufuli mpe kazi halima mdee,si rahisi kwa mwanamke kuwa jasiri kama hivyo,kwa nchi inayojulikana kama haiheshimu demokresia kubadili msimamo na kama mwanamke pia kuwa that strong tells you something, huyu kamanda sio kwamba hakujua sie wapiga kelele wa mtandaoni tutaongea mbovu,alijua na bado akasimamia anachotaka... Halima do your thing,wengi wetu tunaongea mbovu kwenye comfort zone ya majumbani kwetu infront of laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!
Unachukua Miaka 15 kuijenga sifa yako na unachukua dakika 5 kuivunjaKupigwa!!
Kupigwa kwa mtu kama Halima huwa psychological tu, not physical harm... kwamba kwa heshima yake hata akisukumwa tu atashauti kuwa ameteswa sana.
Kulala selo vile vile, kwenye kazi zetu hata sisi tumelala sana na walau yeye kazi yake nono.
Lakini, baada ya kufanya aliyoyafanya... hana kinga za kuendelea kuwa considered jasiri.
You toil a long way to build your reputation, only to destroy it in a second.
Kwani CCM wamekomaa nini sasa kisiasa wakati msaada wao mkubwa ni mbeleko ya Polisi, TISS na NECTeam Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!
Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Sikutegemea swali kama tokea (hasa) kwako. Jibu liko wazi dada yngu.Sasa wakisamehewa inakuwaje ?Wameshaapishwa hivyo wataendelea kuwa wabunge ?
ukishaonja nyama ya binadamu huwezi kuiacha.Kuna watakao Rudi hapo trust Hilo kundi lazima nao wasalitiane [emoji1787][emoji1787]
Hakuna Catch-22 hapo. Its sweet Covid-19, pure corona with all the trimmings. Kuna magumashi mengi mno. A failed, botched up, half-baked Amateur operation , at best.Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!
Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Mbona waraka ni wa mwandiko wa Pole Pole.Mbowe mwenyewe amekiri kuna viongozi wamefoji na kupeka majina. Taarifa ya tume imesema Katibu mkuu msaidizi ndiye alipeleka nysraka zikiwa na saini ya Kstibu Mkuu. Cha ajabu kikao cha juzi hakijasema lolote kwa waliofanya "uhuni" huu. Unadhani ni kwa nini.
Inawezekana alimaanisha kuwaruhusu kuondoka kwenye chama, maana m/kiti ndiye aliyesoma tamka la maamuzi ya kamati kuu kuwafuta uanachama. Na Bi Mdee alishafahamu kwamba kwa kitendo chao hicho lazima wataondoka tu.Halima Mdee anasema na nishukuru mwenyekiti wangu wa chama kwa kuturuhusu,... Aisee..!
Act au ccm kunawafaaWasaliti 19(wabunge wa Covid-19) they've got only two options left now:
1). Kuanzisha chama kipya cha kisiasa ambacho kitatetea maslahi mapana ya wanawake na kupinga mifumo dume (kwa madai na visingizio kuwa CHADEMA kuna mfumo dume ndio maana walitoka).
2). Kujiunga na CCM na kusubiria huruma za jiwe kupata teuzi ndani ya chama.
Nadhani katika hilo kundi kuna mmoja ama wachache sana kutaka kutumia umaarufu ama nafasi zao ndani ya chama kuendesha uasi, kwa lengo la kuungwa mkono na wengine wengi nyuma yao, lakini baada ya BAWACHA ambao ndio lengo kuu la kuwaingiza kwenye uasi huo kuonyesha msimamo tofauti, imeharibu mpango mzima na baadhi kutoka hao 19 kuona wameingizwa kwenye matope maana hata ukijinasua kwenye tope ukitoka bado itakuwa umesha chafuka.Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.
Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA wenzao na Wanachama kwa ujumla.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.
Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.
Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
Hao wanawake wamepoteza heshima yao walioijenga for years!. Na wengi bado ni Vijana bado. Wakijua kucheza vizuri karata zao katika siasa ni kurudi na kuomba Msamaha. Heshima yao itarudi ingawaje itachukua muda kidogoKama namwona bulaya na matiko wakimkimbia mdee na kurudi kuomba msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapanga mikakati ndani ya Ccm hawatumii akili. Hii issue ilikuwa very simpleHii karata hata CCM hawaelewi waipindue vipi ionekane haina kona kona mingi
Kukomaa katika lipi,kama chama kwa pamoja kila siku kinatoa tamko hawatambui uchaguz wala matokeo ma hawajachagua wabunge wa viti maalum tena wanaongea hadharani ,alaf wanatokea watu wanaenda tofaut na msimamo wa chama apo wa kulaumiwa hao waliofanya ilo jambo na wengine walikua wabunge karibu vipind vitatu wakomae nin tenaTeam Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!
Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Ya kwako tu yamekushinda kuyafanya, itakuwa ya wengine? Huna unaloliweza zaidi ya kula na kulala kwa shemejio!Ulitaka mimi nifanye nini kwa niaba yenu?
Hata bila kwenda Mahakamani. NEC wangesema tu kuwa baada ya malalamiko mengi, wanahesabu upya kura zilizopigwa. Halima, Bulaya, Matiko, Ruge, Heche, Mbowe, Msigwa, Zitto, Ado na wengine wanatangazwa washindi na wasimamizi waliosimamia uchaguzi katika maeneo yao wanatumbuliwa ( lakini wanapewa kazi nyingine). Chadema kutokana ns kura zao kuongezeka wanapata viti zaidi vya wakina mama. ACT-WAZALENDO nao wanapata viti maalum. CCM wananaki kuwa na absolute majority lakini si huu upuuzi wa 90%.Wapanga mikakati ndani ya Ccm hawatumii akili. Hii issue ilikuwa very simple
Walitakiwa waongee na wabunge walio shiriki uchaguzi wakashindwa waende mahakamani. Hapo kwa vile mahakama zetu hivi sasa wana fanya kazi kwa maelekezo na sio kufuata sheri, basi mahakimu wangeelekezwa kuwapa ushindi walio fungua kesi asap. Hilo linge pita bila maswali. Lakini jili la kuigiza saini za watu hata mimi nalipinga..