Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

One of the very rubbish comment!! Usiwaminishe watu ignorance yako.!!
 
Habari wadau.Yajayo yanafurahisha.

Waliokuwa wabunge wa viti maalumu 19 wakiongozwa na Halima Mdee
Wakiongozwa na Halima Mdee kivipi ?

Wameshachagua kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani ?
 
Huwa nikianza kusoma comment then nione Rebeca umecomment huwa nafurahi sana, ila leo umevuruga kabsa kwa comment kama hii.

Au kuna mtu amehack account yako? Kwann usitoe taarfa kwa uongozi wa JF? Umekubali mtu aandike rubbish comment kama hii?
 
Dada Rebeca, kubali kuwa Halima kaharibu mno. Nadhani hata yeye haamini upepo ulivyogeuka. Aombe msamaha atasamehewa ila kamwe heshima yake haiwezi kurudi.
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Hata Lucifer aliyekuwa malaika mkuu Maiko, alipohasi kujilinganisha na Mungu alitupwa motoni na kuitwa Lucifer, ndiyo shetani mkuu Motoni.
 
Dada Rebeca, kubali kuwa Halima kaharibu mno. Nadhani hata yeye haamini upepo ulivyogeuka. Aombe msamaha atasamehewa ila kamwe heshima yake haiwezi kurudi.

Akirudi ndio kabisaa ataonekana hana msimamo,sifa mbaya ya mwanasiasa ni kutokua na msimamo,anyway chochote atakachofanya kuna kundi la watu ataacha halijaridhika, so afanye anachopenda...they say you cant please every one,fanya unachopenda.
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Sasa ukisaliti inakusaidia nini?? Inakujengaje zaidi?? Inaboreshaje mapambano uliyoyaongoza na ujasiri wako!? Kwa kweli napata shida Sana kupata connection ya mema aliyoyafanya huko nyuma na upuuzi alioufanya juzi. Kwamba ukifanya mema meengi basi upewe provision ya kufanya upuuzi afu usiguswe???Really??
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Ndiyo battle ground aliyoichagua.
Wewe unadhani hao unaowafikiria kwamba wametulia tuli wenyewe hawana battle ground. Unadhani kuwa na access ya ku comment kwenye social medias inamfanya awe so special kwamba hana vita yoyote ya kimaisha? Kwamba yupo anakula good time?
Unadhani ni nani walipambana bega kwa bega na Halima? Ni nani waliotumia social media kuitangazia dunia dhurma aliyofanyiwa Halima?
Ni jambo baya kufikiria eti waliopo kwenye social media hawana msaada au hawajui pains. Unadhani ni kwanini serikali iliamua kupiga ban Internet nchi mzima?
 
Hata Lucifer aliyekuwa malaika mkuu Maiko, alipohasi kujilinganisha na Mungu alitupwa motoni na kuitwa Lucifer, ndiyo shetani mkuu Motoni.
Lucifer ni Lucifer na Michael ni Michael. Malaika Mkuu Michael ndiye aliyemtoa Lucifer kwenye Ufalme wa Mwenyezi Mungu na kumtupa motoni.. Malaika Mkuu Michael bado ni mlinzi wa amani.
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Mkuu Rebeca 83, nadhani Halima alipo chagua kufanya active politics tena kupitia upinzani alijua ni njia gani atapita (hardships).

Sisi unaetuambia tupo kwenye 'confort zone' nasi tulichagua kuwa huku baada ya kujipima na kuona hatuwezi kuwa 'wanasiasa wa majukwaani', politics being a game...kuna 'wachezaji' na 'mashabiki' so wote hatuwezi ingia uwanjani.

Unless Halima akiri kuwa hajui nafasi aliyoiomba na akaaminiwa for good 15 years na hao unaosema wako 'comfort zone'.

Amebambikwa kesi kibao na hao hao aliojiunga nao na watu walisimama kumtetea, ametukanwa na kudhalilishwa sana na hao aliojiunga nao bado tulimtetea, hata walipomfunga kwa hila tulimchangia kutoka jela na muda mfupi baada ya kifungo wakamvunja mkono bado tulisimama naye.

Unawezaje kusema kuwa tulio kwenye 'comfort zone' hatukutimiza nafasi yetu kwake na kwenda mbali kumuita 'jasiri' kwa usaliti anaotufanyia leo?!
 
Huyo jiwe atawathamini kweli kama wahisani wasipoleta ma-trilioni?.Maana main target ni ma-trilioni siyo akina Halima.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ramli hizo Watu M12 imesoma tayari, Wewe endelea kukalia Misumari
 
Kweli kabisa mkuu, watu walimpigania kwenye chaguzi tatu tofauti jimboni Kawe buree, kwa mapenzi yao tu.
Sijajua ni tamaa ya aina gani aliyonayo kiasi cha kuusaliti uma!!?
Zitakuwa hasira za umma kugoma kuandama labda,hivyo wanaona ya nini kuendelea kupigania watu ambao wao wenyewe hawapo tayari kushiriki mapambano.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Halima Mdee anasema na nishukuru mwenyekiti wangu wa chama kwa kuturuhusu,... Aisee..!
Chama ni Taasisi ina taratibu zake kama walikuwa kwenye vikao vya pombe nakwambia aende kuapishwa basi yeye ni mjinga ...Halima ni mwanasheria kwenye sheria hakuna maneno matupu kila kitu documentation

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…