Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Tumetoboa wengi tu . Kuhusu Mwl kipindi hicho hakuwa na maneno mengi ukizingatia alikuwa kijana mdogo , kiasi kama rika zetu. Nakumbuka headmaster alikuwa Mwl Marwa ,Mwl Mikenze(kilimo), Mwl Elifuraha, Mwl Masumbuko (michezo), Mwl Onyango (Geography), Mrs Kaijunga

Sesesco ni shule nzuri iliyojengwa kwa msaada wa Cuba na kipindi hicho alikuwa haikosi 10 bora
Wewe ulifundishwa na magufuli?
 
nasikia kuna mwalimu alikuwa store keeper gunia la mchele likapotea...nauchukia sana ufisadi mimi........
 
Kwa miaka hiyo sengerema boys mtaalam wa kufundisha hisabat na fisikia ambae alikuwa anatisha pale ukimuuliza yeyote aliekuwepo atakwambia ni ALLY MASUMBUKO
 
Mwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati.

Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa kufundisha ulikuaje?

Je, alipendelea kutumia lugha gani kati ya kisukuma na kiswahiki?

Na ni kwanini alifundisha kwa mwaka mmoja tu?
Kiswahiki????Lugha ya Brunei hii.Au ulimaanisha kisiki cha mpingo?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Alikua analalamika Mshahara mdogo...akaamua kwenda kusoma mshahara wake ukasimamishwa kwa kutotimiza masharti ya kwenda kusoma....maana alifundisha Mwaka Mmoja tuu...
Hili la mshahara mdogo naona mtu wa pili akilieleza. Inakuwaje anapenda watu waishi kama mashetani wakati yeye mwaka 1 alikimbia?
 
Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikuwa Mwalimu bora na akifundisha kemia lazima uelewe kweli kweli.. maana alikuwa ni msema kweli na akikuambia utafeli lazima ufeli...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mi nilitamani kujua uwezo wake wa kufundisha, kama kuhutubia tu hakuna mpangilio wa hoja sijui kufundisha ilikuaje?
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bosi Mimi nilikuwaga bweni la wajanja Mkwawa karibu na chaka, niliwahi kupigwa suspension baada ya kukutwa nimejificha 'Room7' na wenzangu mida ya class, nakumbuka mwaka 2002 kwenye graduu ya form6 alialikwa Magufuli (kipindi hicho waziri kijana) kama mgeni rasmi akatupiga changa la macho atatuletea TV kubwa, hadi natoka sikuiona. Sesesco bonge la shule sema migomo ilifanya iharibike, mabweni yote hayana vioo madirishani, binafsi nilisoma miaka miwili (2002-2003) wazazi walipohamia Songea kikazi wakanihamisha
Unajificha room wakati wa vipindi! We kweli SCREPA!
 
Mnadhani jf kuna kila mtu? Humu kuna asilimia finyu sana ya wananchi wa Tz, 0.000000000001%, so msipatage orgasm sana kwa mihemuko inayotukia humu. No effect at all. WAatakuwa busy na issue zao labda wapo fb.
Unaweza kutujuza hizi DATA za kijinga umezifikiaje?
 
Back
Top Bottom