Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Kabla hatujaanza kuchangia tujuzane kwanza ya Sengerema kipindi hicho HM Matu, kwa waliofikia mabweni ya Milambo au Kibasila na wapenzi wa kujifichà Chaka ambako ukionana na Mwalimu CHILIMILA utasafisha seawage wiki nzima. Kama huyajui haya wewe siyo wa SESESCO usichangie.
Hahahahaha hahahahaha, mkuu umenikumbusha enzi za mabuga,bogozwii,nkuyege na babu nhangi jilala hatariii,hata mkulu alikuwa noma kwenye kemia alifundidha bila kitabu,ni noma.
 
Mnadhani jf kuna kila mtu? Humu kuna asilimia finyu sana ya wananchi wa Tz, 0.000000000001%, so msipatage orgasm sana kwa mihemuko inayotukia humu. No effect at all. WAatakuwa busy na issue zao labda wapo fb.
Wanaopita JFwanachama na wasio wanachama ni zaidi ya million mbili
Unajua Magu alishinda kwa kura ngapi
we make an impact ndio maana wanataka kutujua sisi ni nani
 
Tunashindwa kujibu maswali kuhusu jpm akiwa mwalimu sesesco tuliofundishwa na yeye tuna mengi ya kusifia lakini kwa mtizamo wa JF mtu hawezi toa maelezo ya kuwatosheleza kila mwana JF akaridhika maana wengi humu wameathirika kwa utendaji wake aidha wengi wetu humu JF walikuwa wapiga dili, wanaishi kwa ujanja ujanja
Wewe ulikuwa mwanafunzi wate. Mbona unazungumza kama mtu wa art?
 
Ukimaliza na hao usisahau na kuwaita wale waliokuwepo wakati Zee lako linajinyea!
Vip mbna povu la sabuni za mapapai
Wewe kweli umepita Sesesco a.k.a Singapore. Huyu bwana huyu... Alifanya watu wengi wachukie Chemistry kwa ukali wake hata pasipo sitahili, kama ambavyo wengine waliichukia Geography sababu ya Mwl Chilimila.
 
Maswali mengine, si hata mimi nitaweza kutunga na kurusha. Yaani utajuaje kama nasema ya kweli au uongo?
Humu jf huwezi danganya mtu. Kama Raisi na mawaziri wanadanganya ila wanadabuka sembuse ww
 
Yawezekana aliiacha maana mtu wa phd sio wa kufundisha kabisa
 
Je na huko shuleni alikuwa anaitwa mwalimu Pomb@..?..vipi akili yake ilikuwa fyatu kama hivi Leo. ..??...Sababu za kuacha ualimu ni nini. ??
 
Alikuwa mwalimu mihasira hasara sana! Bora alivyoacha make bakora zake zingeua wengi...
Credit kwa Mwl Shendu,swahiba na walifundisha wote Sesesco!
 
Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
Akikuambia ukweli na mimi nami nitasema ukweli wangu hapa hapa kisha wengine watafuata.
 
Kuna mmoja ambaye alikuwa madarasa ya juu kidogo ushuhuda wake Siyo mzuri sana ila kashauri atafutwe yule mwlm mkuu mzee wa kikurya kama bado yuko hai huyo atakuwa na testimony sahihi kabisaaaa
 
mkuu umenikumbusha mbali sana nilikua mkwawa room 5 middle. Kipindi hicho mkuu ni Mpemba. mwalimu mkongwe wa maths alikua ELIFURAHA na huyu ndo mwenye historia ya mkulu walifundisha wote.
Mpemba ameshafariki
 
Sidhani kama kuna mwenye uwezo wa kumiliki smart phone kwa hiyo hawajui hata kinachoendelea humu JF. Hasara.
Aiseeee....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hatari sana hii...[emoji23] [emoji23]
 
Mleta mada pia fuatilia na alipokuwa Waziri Wizara ya Ujenzi, Ardhi, Mifugo na Uvuvi, na wizara ya Ujenzi tena nitakuelewa zaidi
 
Wanaopita JFwanachama na wasio wanachama ni zaidi ya million mbili
Unajua Magu alishinda kwa kura ngapi
we make an impact ndio maana wanataka kutujua sisi ni nani

Eti kuwajua nyie ni nani, achaga comedy, zile ni protokali tu, jf ni kitu sumni sana, amini usiamini.
 
Back
Top Bottom