Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Wewe ulifundishwa na magufuli?
 
nasikia kuna mwalimu alikuwa store keeper gunia la mchele likapotea...nauchukia sana ufisadi mimi........
 
Kwa miaka hiyo sengerema boys mtaalam wa kufundisha hisabat na fisikia ambae alikuwa anatisha pale ukimuuliza yeyote aliekuwepo atakwambia ni ALLY MASUMBUKO
 
Kiswahiki????Lugha ya Brunei hii.Au ulimaanisha kisiki cha mpingo?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Alikua analalamika Mshahara mdogo...akaamua kwenda kusoma mshahara wake ukasimamishwa kwa kutotimiza masharti ya kwenda kusoma....maana alifundisha Mwaka Mmoja tuu...
Hili la mshahara mdogo naona mtu wa pili akilieleza. Inakuwaje anapenda watu waishi kama mashetani wakati yeye mwaka 1 alikimbia?
 
Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikuwa Mwalimu bora na akifundisha kemia lazima uelewe kweli kweli.. maana alikuwa ni msema kweli na akikuambia utafeli lazima ufeli...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mi nilitamani kujua uwezo wake wa kufundisha, kama kuhutubia tu hakuna mpangilio wa hoja sijui kufundisha ilikuaje?
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unajificha room wakati wa vipindi! We kweli SCREPA!
 
Mnadhani jf kuna kila mtu? Humu kuna asilimia finyu sana ya wananchi wa Tz, 0.000000000001%, so msipatage orgasm sana kwa mihemuko inayotukia humu. No effect at all. WAatakuwa busy na issue zao labda wapo fb.
Unaweza kutujuza hizi DATA za kijinga umezifikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…