[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajificha room wakati wa vipindi! We kweli SCREPA!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sidhani kama yupo aliyetoboa
Ha ha ha haInawezekana wengi waliishia kuwa wavuvi
Unaweza kutujuza hizi DATA za kijinga umezifikiaje?
Mwenyewe yuko 50s na wanafunzi pia[emoji15]Nadhani wengi wao kwasasaivi watakuwa ni wazee above 50
Kama ana 58 itakuwaje wanafunzi wawe zaidi ya 50Nadhani wengi wao kwasasaivi watakuwa ni wazee above 50
Ukisoma CV yake online waweza kupata jibu.Na ni kwanini alifundisha kwa mwaka mmoja tu?
Eti mrija [emoji23][emoji23][emoji23]Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
Kama mwalimu wao anatumia y wanafunzi washindwe?Sidhani kama watakuwa wanajua kutumia jf app.
Wewe kweli umepita Sesesco a.k.a Singapore. Huyu bwana huyu... Alifanya watu wengi wachukie Chemistry kwa ukali wake hata pasipo sitahili, kama ambavyo wengine waliichukia Geography sababu ya Mwl Chilimila.