Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Waliofundishwa na Magufuli katika Sekondari ya Sengerema mje tuwachukue maelezo hapa

Inamaana mpaka sasa hayupo mwanafunzi wa JPM.
 
Wewe kweli umepita Sesesco a.k.a Singapore. Huyu bwana huyu... Alifanya watu wengi wachukie Chemistry kwa ukali wake hata pasipo sitahili, kama ambavyo wengine waliichukia Geography sababu ya Mwl Chilimila.

Pia vilaza wanakuwaga na tabia za kuchukia walimu na somo
 
Back
Top Bottom