Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Wera weraaaa; ingawa hata mleta UZI hajasema kwamba haiwezekani, yeye anacho uliza, hao wagunduzi walikua wanatafuta nini hadi wakagundua madude magumu gumu vile? But in fact unastahiri pongezi mkuu, well done hasa
 
Haa ha haha; halafu kwenye real life wala hazina impact yoyote yaani
Hakuna hesabu isiyokuwa na umuhimu,mimi kabla sijamaliza chuo,nilikua najiuliza haya mahesabu ya linear programming yana umuhimu gani katika maisha..baada ya kuingia kazini ndio nikagundua hayo mahesabu ni muhimu sana katika maisha yetu coz wachumi na wahasibu ndio wanayatumia katika planning na kuandaa budget mbalimbali.
 
Amna kigumu sema kichwa chako kigumu tuu.
mods futeni huu uzi
 
Ni katika hali ya kutafuta "ukweli" hakuna anaejua ukweli. Ukiulizwa "what's the truth" utajibu nini? Achana na mambo ya imani.
 
Tofautisha kwanza "hesabu" na "hisabati".

Halafu wenye hasabati yao watakuja kudadavua maswali yako.
 
Nadra sana. Elimu/sayansi/techonolioia ni incremental. Kila mtu au kizazi kinaongezea pale kilipoishia kingine. Kwa hivyo ukitizama hiyo photocopier utaona ni muungiko wa technolojia mbali mbali.....kuanzia pulleys, wino, taa/mwanga, camera etc. Na yenyewe utaona overtime imekuwa na improvement kidogo kidogo.....pengine mwazo ilikuwa black na white na sasa coloured, etc.

Elimu mpya inajengwa juu ya msingi wa elimu ya zamani na ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…