Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Hesabu haifanyi ugumu bali ina-simplify ugumu kuwa rahisi...

Mfano ukitaka kujua jumla ya namba mfano kutoka 1 mpaka mia (yaani 1 + 2 + 3............ n) ni rahisi kutumia hii formula S = n/2[2a + (n − 1) × d]
Au kujua kwamba ili niweze kushinda / au kwanini siwezi kushinda sportpesa jackpot kutokana na combinations zote na propability iliyopo kufanya hili game kuwa gumu sana C(n,r)=n! (n−r)!

Au kujua ujazo wa jiwe au kitu ambacho sio uniform, kujua nitumie chombo cha ukubwa gani au nitegeneze kisima cha ukubwa gani ili niweze kujaza maji ya kunitosha kuweza kutumia mwaka mzima..., hayo yote yanarahisisha maisha na sio vinginevyo; Yaani kabla sijanunua nyenzo na kujenga kuja kugundua kwamba ningetumia chombo cha cylinder na sio hiki kisima cha cube nilichotumia ili kutunza maji mengi zaidi ni bora kuliko kujenga kupima kugundua nimekosea hivyo kurudia tena

 
Back
Top Bottom