Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

Ni ngumu ila ni hizo zonatumika katika kurusha ndege, kuendesha meli baharini nk. Unakumbuka yule jamaa aliyetoka bafuni uchi na kusema "Eureka " yaani nimegundua kitu. "The law of floatation" hayo yote ni mahesabu. Dunia inaning'inia kimahesabu, tena zile ngumu.
 
Kiukweli kuna vitu MUNGU aliweka ndani ya watu na kila mtu anakitu chake cha tofauti.

Hesabu ni baadhi ya hivyo vitu alafu waliotunga vilikuwa vinakuja tu kichwani mwao na kuviandika.

Kinachonifanya niamini vimetoka kwa MUNGU madaraja na miundombinu wanatumia mambo hayo hayo ya trig na yanakuwa kweli.

#Ni mtazamo wala sio sheria
Ulichosema ni hakika kabisa.. kuna huyu jamaa wa india inaitwa Srinivasa Ramanujan, a self taught mathematician.... ukitaka uhondo zaidi tafuta hii movie "the man who knew infinity"
 
You need to be mad first before be familiar with this numbers
JamiiForums-78857768.jpg
 
azam tv kurusha matangazo tukaona cassablanca ana uwa kaka yetu ni hesabu za kutosha za anttenna kuweza kuona channel. Alignment ya dish ni hesabu, application za trig alafu unafanya alinment ya dish ili upate signal quality nzuri
 
Da jamani hesabu za uchumi in ngumu kuna topic inaitwa Dynamic Optimization Masters level ni hatari sana.
Nikiona Username yako nakumbuka manyanyaso yanayohusuana na Econometrics.
Dah! Kwenye Economics kuna hesabu unaweza dhani unakokotoa uchumi wa duniani na mbinguniv(kusikojulikana) kwa pamoja
 
Halafu sijui walikuwa wanamkomoa nani
Wala sio kukomoa mtu, ni curiosity tu. Kwanza hesabu ukiipenda na kuizingatia ni tam sana. Haitapita siku ulale bila kuifanya. Alafu muda mwingi pia unakuwa unawaza baadhi ya solution za maswali yaliyokupiga KO.
 
Wewe sio mhandisi wala mtafiti wala astronaut wa kupeleka roketi huko ulimwenguni sasa ulitataka utumie wapi?
Labda taaluma yake haihusiani na trig. Ila in daily life watu tunazitumia Sana tu.
 
nilianza kuichukia hesabu nilipoanza kukutana na herufi ndani yake[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23] inaanzaga hivi kama utani utani:
1+1=... Ikaja
1+a=2. Tafuta a. Baadae
x+y=2 where xy=2. Tafuta x na y
Mwishowe hesabu yote inavurugwa inakua ni herufi na alama tupu halafu wewe ndio utafute namba.
 
Hayo makitu Mimi yalinishinda toka Niko la kwanza😂Sinaga shobo na mihesabu Mimi
 
Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Kwani wewe ni engineer?hizo hesabu zinatumika kwenye ku design antena za mawimbi ya mawasilino,waves,signals,
Zinatumika katika kutengeneza sir aha za masafa marefu,trajectory,kupeleka setliite angani nk,trig unawezA Kuzitumia katiKa kutengeneza thamani
 
Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Hesabu za Logarithm zinatumika Kwenye Coding hapo nazungumzia kweny masuala ya Computer, na upande wa hzo za Ratio zinatumika kweny Ujenzi Wa Miundombinu mbalimbal kam Majengo na Barabara
 
Back
Top Bottom