Umeyataka mwenyeweDah ila maisha hayako fair. nakumbuka A level natoka kwenye paper ya bam nawaambia washkaji sijaona swali ya kukosa. wakawa wananinanga ile pepa ilisukwa kiasi kwamba unampelekea mtu wa pcm anasanda ila huwezi amini nilipata 100% akati napiga pcb.
ajabu saivi natukanwa na waindi.
Nyie ndio mnaowapotosha hata watoto wanapokea mtazamo hasi kwenye hesabu. Hesabu ni rahisi saaana!Mihesabu kama ya Trigonometric ratios (Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?
View attachment 1963923
Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa walifikiajefikiaje muafaka kwamba ukifanya hivi hivi ukaja hivi na hivi mpaka mwisho ndio mjibu huo umetiki?
View attachment 1963924
Kwakweli hesabu ni jambo la kushangaza sana. Hebu tupeni historia ya kugunduliwa hesabu mpaka leo. Na je, hakuna hesabu mpya zilizogunduliwa miaka ya karibuni?
Hii lazima iwe chai.. sema for insipirational reason imechukuliwa.Hesabu ni somo linalochukiza sana.
Tangu napata ufahamu nikiwa primary nilikua nafeli tu hesabu. Darasa la 4 mpaka la 7 nilikua napata 10% mpaka 20%, yaani 5/50 mpaka 10/50. Inshort primary nilikua mbumbumbu na mwonekano wa kimbumbumbu, mpaka nikawa nafananishwa na kilaza wa darasa, nikawa naitwa kwa jina la huyo kilaza.
Nilivyoanza sekondari nikaanza kujifunza mwenyewe kwenye kitabu bila kufundishwa. Nikawa najifunza mwenyewe kwa muda mrefu, kidato cha pili NECTA nikapata C (49%). Kutoka 10% - 20% mpaka 49% nikaona kumbe inawezekana!, likizo ya form 2 kwenda form 3 nikakazana nikawa najifunza mwenyewe kitabu cha form 3. Midterm ya form 3 nikapata 78% kumzidi aliyeongoza shule nzima kidato cha pili, yeye midterm alipata 77%, nikapata moyo zaidi. Nikamaliza book 3 na book 4 harakaharaka nikiwa form 3, nikiwa form 3 nikaanza kufanya mitihani ya form 4 na wanafunzi wa form 4, nikawa nawakimbiza form 4, grade As zikawa za kumwaga. Form 4 NECTA usiulize, nimetoka na banda la number.
Hizi Facebook, jamii forum, WhatsApp, na masoftware mengine yote, mashine, magari, ndege, vyote hivyo vinaendeshwa na hesabu.Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
HaswaaaaaKila kitu linatumika penye uhitaji.... Ukiwa Bara Huwezi ona matumizi ya nanga... Mpka uwe baharin
Acha kabisa mkuu.[emoji23][emoji23]hili somo usipolielewa vizuri linatia mawazo sana.
Unanikumbusha swahiba wangu mmoja alikuwa hapendi Maths sasa siku moja tuko na pindi la Basic electricity lecturer kasolve swali palee limeanzia kwenye umeme likaishia kwenye calculus,wakati yule nyoka wa calculus anachorwa tuu nikamsikia mshkaji huko nyuma anajiongelesha peke yake "KMMK nilijua tu"..[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah....kitu Laplace......ilinitesa sana hadi nikaandika barua ya kuomba kuhama kozi ya uhandisi ila bahati nzuri nikavuka salama ile semister nikaahirisha kuhamaKuna ile kitu inaitwa Descrete mathematics au morden algebra acha kabisaa ile kitu inatesa kama bawasiri. Kuna mnyama Laplace transforms nyie acheni hili somo liwe la watu wachache
😂😂😂😂😂Acha kabisa mkuu.
Haya mambo yana wenyewe. Kama kichwa chako tia maji tia maji lazima uteseke.
Kufeli hutofeli ila utateseka.
Mm niliimeza kama ilivyo na kwenye mtihani nkaitapika kama ilivyo. Wanasema mathe haimezeki eti. Inamezeka tu fresh[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta hio hesabu ya pyramid nami nikuwekee za karne ya 19 na 21 tuone zipi zipo juu.Kiukweli hesabu ilotumika kwenye mapiramidi haijavunjiwa rekodi mpaka leo!
Mzee baba, kwa mtu aliyesoma PCM, Mathatics ndo somo rahisi na hata matokeo yanaonyesha hivyo kwa ufaulu mkubwa somo la Mathatics kuliko somo la Physics.Unaijua pure maths au unaisikia kwa ummy mwalimu tu?
Matokeo yalikuaje?Kipindi napiga msuli wa kujiandaa kuingia form 5 niliona Physics siiwezi kabisaaa na nikaachana nayo.
Eeh bana, hii nondo nimekubali. Ahsantekuna mjinga nimemuona ktk hii tnread anajarbu kupotosha na kuubeza ukwel juu ya mahesabu, na historia za mahesabu.
haya yote chanzo chake ni afrika ya kale, napoingelea afrika namaanisha ile black race tu, iliyoish baran afrika ktk falme za misri, kushi,sudan nk.
unapoongelea civilization za afrika, hutakiwi kubase kwenye Egyptian ancients civilization only, but unatakiwa kujua, karbia bara lote la afrika lilikuwa limestaarabika.
ktk shughuri za ujenzi, utabibu, usafiri na uchunguzi wa anga, haya yote yalishaluwepo na yalifanyika kwaahesabu ambayo kwa dunia ya leo hakuna awezae kufanya na hatotokea wakufanya nje ya race ya black,maana yana secret codes za kufunguliwa kwa mtu halisi tu, ndiomaana mzung kajisumbua kujua sili za pyramid lkn kashindwa, sabbu hausiki ktk ujenzi, na code znamuhusu mtu mweusi tu, ambaye nae wala hajishughulish kuujua ukwel zaid ya uwaabudu watu weupe na kusifia upuuz wao, uku akiubeza uafrika.
baazi ya hesabu za uhandisi wa pyramid ndzo hutumika ktk ujenz wa majengo ya kileo,,
kwa wale wanaouliza faida za hesabu, wajue kuwa hata iyo simu wanayotumia kutype upumbavu wao humu, kuna mahesabu yamefanyika mpka ujumbe umeandikwa na kuwa seen in public, kitendo cha kuicomand simu yako iingie ktk app ya JF ni hesabu, kitendo cha kuanza kutype herufi ktk simu yako n hesabu, simu haitambui kuwa kuna herufi J, au M, zaid zaid inatambua mathematical laws calculated to provide right information controlled by OS(operative system) in numbers upto words and vice versa,
mfano, unapotaka kuandika jina lako ktk simu ya kitochi, yaan batan yenye 0, 1,2,3-9, kama ilivyooneshwa ktk batan, ukataka kuandika mfano yohana, na ktk batan zako kuna namba 0- 9 tuu, je utaweza vipi kuandika maneno yenye alphabet zaid ya 26? au simu inawezaje kutambua na kutofautisha herufi zilizo ktk batani moja?, sas jibu unalipata ni kuwa, unapoandika yohana= 9(4)+6(3)+4(2)+2(1)+6(2)+2(1) ama
9*4+6*3+4*2+2*1+6*2+2*1
yaani [emoji116]
2- abc..a=1, b=2,c=3
3-def....d= 1,e=2, f=3
4-ghi....
5-jkl.....
6-mno....
7-pqrs...p=1,q=2, r=3, s=4
8-tuv....
9-wxyz....
sas unapoandika jina yohana ktk simu yako, juwa kuwa electrical numbers will be calculated to get your results, ndio kama hivyo, yohana, = Y(9×3)+O(6×3)+H(4×2)+A(2×1)+N(6×2)+A(2×1)
= 27+18+8+2+12+2
jibu = 69(name in numbers)
yaani jibu hilo unakuwa umelipata chini ya sekunde pale ulipo type yohana ktk kisimu chako, sas ndio uone mlolongo wa vijihesabu ili kupata neno/sentesi,
wabongo uvivu wa kufikili ndyo unapelekea mambo kama haya kuona hayana maana.
someni elimu haina mwisho
[(128*3) +(125*2) + x ]/6 = 126Nilikimbia hizo hesabu na hisabati naombeni Majibu ya hili swali .Wastani wa vimo vya wanafunzi 6 ni sm 126.Wanafunzi 3 kila mmoja ana sm128.Wanafunzi 2 kila mmoja ana sm125.Je mwanafunzi wa sita ana kimo cha kiasi Gani?