Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Huu ni mfano wa kujitungia tatizo na kulitatua af baaaas unafurah tu, kuondoa tatizo hewaa🤦Mfano mtu anataka kujua ni vipi atapata kuzijua idadi za michangamano yote tukiweka vitu vitatu A B C = A, B, C, AB, AC, BC, ABC ni mlinganyo gani
Hapo utasema;
Idadi (N) = N! + 1
So kwa vitu vitatu ni saba, viwili ni tatu.
KabisaHuu ni mfano wa kujitungia tatizo na kulitatua af baaaas unafurah tu, kuondoa tatizo hewaa[emoji1751]
Kikokotoo cha pension cha Tanganyika, innovated in 2020s [emoji1787][emoji137][emoji137][emoji137][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mihesabu kama ya Trigonometric ratios (Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?
View attachment 1963923
Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa walifikiajefikiaje muafaka kwamba ukifanya hivi hivi ukaja hivi na hivi mpaka mwisho ndio mjibu huo umetiki?
View attachment 1963924
Kwakweli hesabu ni jambo la kushangaza sana. Hebu tupeni historia ya kugunduliwa hesabu mpaka leo. Na je, hakuna hesabu mpya zilizogunduliwa miaka ya karibuni?
Unai optimize kweli dynamically 😹😹😹😹😹😹Da jamani hesabu za uchumi in ngumu kuna topic inaitwa Dynamic Optimization Masters level ni hatari sana.
Plus static electricityNadra sana. Elimu/sayansi/techonolioia ni incremental. Kila mtu au kizazi kinaongezea pale kilipoishia kingine. Kwa hivyo ukitizama hiyo photocopier utaona ni muungiko wa technolojia mbali mbali.....kuanzia pulleys, wino, taa/mwanga, camera etc. Na yenyewe utaona overtime imekuwa na improvement kidogo kidogo.....pengine mwazo ilikuwa black na white na sasa coloured, etc.
Elimu mpya inajengwa juu ya msingi wa elimu ya zamani na ya sasa.
HahahahahAmina ni mrefu mara mbili na nusu ya urefu wa asha. Ikiwa asha ni mfupi mara mbili ya kimo cha tatu ambaye amemzidi mwantumu mara mbili akiwa amekaa tafuta urefu wa mwanaume ambaye alimtoa bikra Amina akiwa na urefu alionao sasa mwantumu ambapo mwanaume huyo kwa sasa ana urefu sawa na baba yake amina ambaye amemzidi mama yake mara moja na nusu. Marks 0.5
Hiyo ni uongo bhaaanaaHesabu zinamatumizi...mfano matrix ndo zinatumika kujaza upepo matairi ya ndege
Usiingilie mambo ya familia za watu😀Amina ni mrefu mara mbili na nusu ya urefu wa asha. Ikiwa asha ni mfupi mara mbili ya kimo cha tatu ambaye amemzidi mwantumu mara mbili akiwa amekaa tafuta urefu wa mwanaume ambaye alimtoa bikra Amina akiwa na urefu alionao sasa mwantumu ambapo mwanaume huyo kwa sasa ana urefu sawa na baba yake amina ambaye amemzidi mama yake mara moja na nusu. Marks 0.5
Discrete mathematics mbona sexy sana tu
1.logic
2.game theory
3.set
4.relation na function
5.number theory
6.combinatorics
Zote hixi zinataka utulize akili tu unatusua vizuri tu [emoji177]
Ngwini utawajua tu.Mihesabu kama ya Trigonometric ratios (Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?
View attachment 1963923
Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa walifikiajefikiaje muafaka kwamba ukifanya hivi hivi ukaja hivi na hivi mpaka mwisho ndio mjibu huo umetiki?
View attachment 1963924
Kwakweli hesabu ni jambo la kushangaza sana. Hebu tupeni historia ya kugunduliwa hesabu mpaka leo. Na je, hakuna hesabu mpya zilizogunduliwa miaka ya karibuni?
Can we see ua B'Maths results in Fm IV & VI if you sat under NECTA?Lainisha fuvu lako kwanza mkuu mbona hakuna hesabu ngumu.