Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Umesomea course zote ukaona hazina matumizi. Simple tu computer science logarithm ni za kutosha na lazima uzielewe.Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Hesabu kama zile za parabola, dah hatari sana.
Ulichosema ni hakika kabisa.. kuna huyu jamaa wa india inaitwa Srinivasa Ramanujan, a self taught mathematician.... ukitaka uhondo zaidi tafuta hii movie "the man who knew infinity"Kiukweli kuna vitu MUNGU aliweka ndani ya watu na kila mtu anakitu chake cha tofauti.
Hesabu ni baadhi ya hivyo vitu alafu waliotunga vilikuwa vinakuja tu kichwani mwao na kuviandika.
Kinachonifanya niamini vimetoka kwa MUNGU madaraja na miundombinu wanatumia mambo hayo hayo ya trig na yanakuwa kweli.
#Ni mtazamo wala sio sheria
Babu yake john mzaa mama his age is equal to all real numberBaba John ana umri wa miaka 58 mara nne ya umri wa John tafuta umri wa babu yake John mzaa mama.(maksi 3)
Nikiona Username yako nakumbuka manyanyaso yanayohusuana na Econometrics.Da jamani hesabu za uchumi in ngumu kuna topic inaitwa Dynamic Optimization Masters level ni hatari sana.
Kipindi hiyo nilikua na fuvu gumuCan we see ua B'Maths results in Fm IV & VI if you sat under NECTA?
Wala sio kukomoa mtu, ni curiosity tu. Kwanza hesabu ukiipenda na kuizingatia ni tam sana. Haitapita siku ulale bila kuifanya. Alafu muda mwingi pia unakuwa unawaza baadhi ya solution za maswali yaliyokupiga KO.Halafu sijui walikuwa wanamkomoa nani
Labda taaluma yake haihusiani na trig. Ila in daily life watu tunazitumia Sana tu.Wewe sio mhandisi wala mtafiti wala astronaut wa kupeleka roketi huko ulimwenguni sasa ulitataka utumie wapi?
Alisema jamaa mmoja mpenzi wa History na Kiswahili😅😅Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
[emoji23][emoji23] inaanzaga hivi kama utani utani:nilianza kuichukia hesabu nilipoanza kukutana na herufi ndani yake[emoji23][emoji23][emoji23].
Shock ya kwanza kwenye hesabu, nipale nilipokutana na baadhi ya wanafunzi kutoka chuo fulani wanasema mwalimu wao anasolve hesabu za calculus kwa kichwa. Yaani hizo za mikia anakubandikia jibu tu!!! Hawakuacha kutaja jina la mwalimu Sembuche kila tulipokuwa tunaongelea habari za hesabu.
Kwani wewe ni engineer?hizo hesabu zinatumika kwenye ku design antena za mawimbi ya mawasilino,waves,signals,Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Hesabu za Logarithm zinatumika Kwenye Coding hapo nazungumzia kweny masuala ya Computer, na upande wa hzo za Ratio zinatumika kweny Ujenzi Wa Miundombinu mbalimbal kam Majengo na BarabaraSioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Ha ha ha haaaa!!! Muonekano tu lazima afanye hesabu ya kalikulasi kwa kichwa. Asante sana, Mkuu nimefarijika kumuona huyu Mwalimu Sembuche kupitia bandiko lako.