Ukichukua mzunguko wa duara lolote ukagawa kwa Kipenyo chake; unapata ratio Pi ambayo ni 3.14.... nakuendelea Sasa interesting facts ni kwamba.... baada ya desimali namba zinaendelea to infinity, ; bila kumalizika kuendelea huko kunaendelea to infinity bila kujirudia Unaweza kujiuliza So...