Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

hongera sana
 
Kuwa na nyumba mbovu ni kutokana na Sera mbovu za Chama cha mapinduzi
 
Mtu ana miaka 67 unadhani hao watoto 15 wote wako chini ya paa lake?

Tena kwa Kigoma watoto wote wanakuwa wameshasambaa kujitafutia mpaka wa miaka 10 anachunga mbuzi usukumani.

NB:Hii nchi umasikini nร  ujinga hauna kabila, imagine hiyo nyumba mbavu za mbwa anaishi nshomile na kajizalia watoto 15 huku wasukuma ndiyo wakisemwa kwa kutozingatia uzazi wa mpango.
 
Ujinga ni mwingi sana alafu mnashabikia,nyumba ya vyumba viwili na anawatoto 15?.
 
Ccm mnazingua,mradi ni mkubwa sana huuu hivyo mme jenga ni vibanda vyao watumie tu kama vibanda vya ulinzi kulinda hilo Bomba.
 
Du! beggar has no choice, kama nyumba za fidia ndio hizi basi ni dharau mno bora wangejenga wenyewe
umelinganisha na hiyo nyumba na hayo mabanda ya matope waliyokuwa wanaishi yasiyo hata na solar hadi umefikia hitimisho hilo?

wao wenyewe walijua wakipewa pesa hawatawaza kujenga ndiyo sababu wakachagua kujengewa nyumba na kupewa kiasi cha pesa kuanza maisha mapya
 
zina shida gani? ukilinganisha na walizokuwa nazo. Ila true ni tu nyumba tudogo sana kwa familia watu 15
Dar jamaa Hao wanapisha Bomba, walistahili kilichobora zaidi. Shida no ardhi Yao ni ya thamani na wanastahili nyumba kuliko hiyo mliyowapa. Wapeni hisa basi wawe sehemu ya umiliki WA bomba


Sent from my POT-LX1T using JamiiForums mobile app
 
Watanzania acheni kuongea sana, ingieni youtube channel yao uone jinsi walivyofanya hiyo program ya kuhamisha watu, walikenga nyumba kutokana na nyumba yako walio ikuta

Angalia hapa

ECOAP nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ