Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

Watanzania acheni kuongea sana, ingieni youtube channel yao uone jinsi walivyofanya hiyo program ya kuhamisha watu, walikenga nyumba kutokana na nyumba yako walio ikuta

Angalia hapa

ECOAP nyumba
ebu acha uboya! watanzania wanakosa gani hapa, sio nyumba waliyoikuta mpaka wakikufata manake wameona ardhi yako inathamani sasa fidia wasipange wao peke yao. walichofanya ndio kina utata wanajengea watu mabanda na kuwapa kuku watatu sababu ndio waliokuta, si wakapitishe sehemu nyingine.

Wajenge nyumba nyumba kweli kulingana na hali halisi sio vitembe walivyokuta, watu wamedondokewa na zari basi ndio fursa kwao.
 
Acha kubwabwaja fungua hiyo link angalia hiyo clip na clip zote kwenye channel yao ndio uje hapa
 
Huko nchini Uganda sehemu za Sembabule, Rakai, Kyotera houses for land Uganda mfano wa nyumba maeneo ambapo mradi wa EACOP umefidia wenye mali :
Bw. Stephen Rwakabale akionesha jinsi mradi ulivyomfidia nyumba ya kisasa



Bw. Kizito Sula akionesha nyumba yake





photos: EACOP handover houses
 
Uganda, East Africa.

Video aliyepata fidia akionesha nyumba ya zamani ya kienyeji hadi kunufaika kupata ya kisasa
Bw. Kizito Sula wa nchini Uganda anatoa ushuhuda :

 
Kwani zamani alikuwa ana watoto wangapi na walikuwa wanaishi wapi?
Mzee wewe ndo unaendesha hii harakati ya uzulumaji?,Hapa tunazungumzia ukubwa wa mradi na kilichotolewa kama Fidia kwa wahusika.
 
Kwani huo mradi ni WA nyumba au Bomba la mafuta?
Mzee jitahid basi muwe mnasoma habari ya kwanza kabsaa alafu zinafata comments za wachangiaji....Anzia juu ukishaelewa njoo tuendelee na hoja...Matusi staki.
 
Uliyemtaja huyo mwenye watoto 15 anaishi vp nyumba ya CHUMA kimoja?

Uganda mbona wamepewa nyumba kubwa kidogo angalau?

Serikali ya CCM ikipewa pesa tu, wanafanya Yao,

Mu7 ni Rais Bora ukilinganisha na huku ktk fidia na usimamizi wa nyumba za walioguswa na mradi wa Bomba la mafuta.
 
Wamefidia nyumba? Je fidia ya Ardhi linakopita bomba?
Hili bomba lingepita kenya wangejenga hivyo vimbanda?
Watanzania tumelogwa nanani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ