GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waliokuwa wanachama wa CHADEMA Kata ya Kinyerezi na baadae wakahamia Chaumma leo wametangaza kurudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee Sababu ya kuhama mifumo iliyopo kwenye chama CHAUMMA si ya katiba bali ni mifumo ya watu binafsi ili kupata ubunge na udiwani

View attachment 3452688
TALGWU hapo unahusianaje? Sio Maigizo haya? Tuwe makini
 
Waliokuwa wanachama wa CHADEMA Kata ya Kinyerezi na baadae wakahamia Chaumma leo wametangaza kurudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee Sababu ya kuhama mifumo iliyopo kwenye chama CHAUMMA si ya katiba bali ni mifumo ya watu binafsi ili kupata ubunge na udiwani

View attachment 3452688
Chunga tamaa mbaya.

Chunga tamaa mbaya.

Cc 20%.
 
WANACHAMA zaidi ya 200 wa CHAUMA katika Jimbo la Segerea, wilayani llala, jijini Dar es Salaam, wamekihama hicho na kurejea CHADEMA kwa madai ya kuto ridhishwa na mwenendo wa chama hicho.

Aidha, wamesema hiyo ni season ya kwanza ya wanachama katika jimbo hilo kuhama CHAUMA na kujiunga na vyama vingine vya siasa bali zinakuja season nyingi ambazo zitabeba wimbi zito la wanachama kukihama Chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, leo Agosti 25,2025, kwa niaba ya wanachama hao walio hamia CHADEMA aliyekuwa Mwenyekiti wa CHAUMA Kata ya Kinyerezi, Jimbo la Segerea, Mndewa Mndewa 'Dk. Timo', ameeleza wameamua kuhama kutokana na mifumo mibovu.

"Tumegundua mifumo ya uongozi ndani ya CHAUMA siyo ya kikatiba ila chama kipo kwa masalahi binafsi ya baadhi ya watu,"ameeleza Dk. Timo.
 
Tutawapokea.
20250612_190153.jpg
 
Kumbe ni wanachama 200?
 
No Reform No Election.
 
chadema ndo walipotoka, waende vyaa viongine kama wapo serious act, ccm, cuf, nccr n.k
 
WANACHAMA zaidi ya 200 wa CHAUMA katika Jimbo la Segerea, wilayani llala, jijini Dar es Salaam, wamekihama hicho na kurejea CHADEMA kwa madai ya kuto ridhishwa na mwenendo wa chama hicho.

Aidha, wamesema hiyo ni season ya kwanza ya wanachama katika jimbo hilo kuhama CHAUMA na kujiunga na vyama vingine vya siasa bali zinakuja season nyingi ambazo zitabeba wimbi zito la wanachama kukihama Chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, leo Agosti 25,2025, kwa niaba ya wanachama hao walio hamia CHADEMA aliyekuwa Mwenyekiti wa CHAUMA Kata ya Kinyerezi, Jimbo la Segerea, Mndewa Mndewa 'Dk. Timo', ameeleza wameamua kuhama kutokana na mifumo mibovu.

"Tumegundua mifumo ya uongozi ndani ya CHAUMA siyo ya kikatiba ila chama kipo kwa masalahi binafsi ya baadhi ya watu,"ameeleza Dk. Timo.
Wangeonekana wa maana wangehama kabla ya Chaumma kutangaza majina ya wagombea wake. Na wengi zaidi watahama baada ya kukosa uteuzi. Na wengine walitumwa kwa kazi hii hii. Hamna chw kushangaza.

Amandla...
 
Back
Top Bottom