GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wangeonekana wa maana wangehama kabla ya Chaumma kutangaza majina ya wagombea wake. Na wengi zaidi watahama baada ya kukosa uteuzi. Na wengine walitumwa kwa kazi hii hii. Hamna chw kushangaza.

Amandla...
Hehehe ndoto za maslahi zimezimwa
 
Wangeonekana wa maana wangehama kabla ya Chaumma kutangaza majina ya wagombea wake. Na wengi zaidi watahama baada ya kukosa uteuzi. Na wengine walitumwa kwa kazi hii hii. Hamna chw kushangaza.

Amandla...
Wasamehewe tu.Hasira ya mkizi ni faida ya mvuvi.Hasira ni hasara naomba tuwasamehe ili tuweze kuwa na himaya pana ya mapambano.
 
Wasamehewe tu.Hasira ya mkizi ni faida ya mvuvi.Hasira ni hasara naomba tuwasamehe ili tuweze kuwa na himaya pana ya mapambano.
Chadema imemsamehe Slaa aliyesema kina genge la kuumiza watu itakuwa hawa? Muhimu tu waanze kuelezea uozo walio uona Chaumma.

Amandla...
 
Basi wawe wakweli. Lengo letu lilikuwa kupata nafasi ya kugombea udiwani au ubunge na sio kusaidia chama kupata wabunge na madiwani. Sasa tungoje watakavyopokelewa kwa vigelegele. Aibu sana.

Amandla...
Hahhaah
 
Wamekosa maslahi kule, wakaanzishe chama chao kipya
 
Back
Top Bottom