Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hehehe ndoto za maslahi zimezimwaWangeonekana wa maana wangehama kabla ya Chaumma kutangaza majina ya wagombea wake. Na wengi zaidi watahama baada ya kukosa uteuzi. Na wengine walitumwa kwa kazi hii hii. Hamna chw kushangaza.
Amandla...
Mimi nilijua Chaumma haina wanachama zaidi ya 100. Hao 200 Segerea peke yake wametoka wapi?Kumbe ni wanachama 200?
Walienda kugombea Udiwani na ubunge......na wengine walikokotwa na uchaguzi wa ndani ya chama.Mimi nilijua Chaumma haina wanachama zaidi ya 100. Hao 200 Segerea peke yake wametoka wapi?
Amandla...
Tatizo la mtu wa Chadema kuhamia Chaumma ni kuwa wanajuana vizuri tu. Anaefuata maslahi anajulikana. Alietumwa ili akiharibie chama anajulikana. Waende tu.Hehehe ndoto za maslahi zimezimwa
Wasamehewe tu.Hasira ya mkizi ni faida ya mvuvi.Hasira ni hasara naomba tuwasamehe ili tuweze kuwa na himaya pana ya mapambano.Wangeonekana wa maana wangehama kabla ya Chaumma kutangaza majina ya wagombea wake. Na wengi zaidi watahama baada ya kukosa uteuzi. Na wengine walitumwa kwa kazi hii hii. Hamna chw kushangaza.
Amandla...
Huyo mjinga SanaHawa ni makahaba wa siasa. Hawapaswi kabisa kuaminiwa, kwani hawana akili.
Mwanasiasa anapaswa kuwa mchambuzi wa mambo (analyst ) na mwenye maono (visionary), hapaswi kuwa mkurupukaji.
Bado zamu ya Yericko Nyerere
Basi wawe wakweli. Lengo letu lilikuwa kupata nafasi ya kugombea udiwani au ubunge na sio kusaidia chama kupata wabunge na madiwani. Sasa tungoje watakavyopokelewa kwa vigelegele. Aibu sana.Walienda kugombea Udiwani na ubunge......na wengine walikokotwa na uchaguzi wa ndani ya chama.
Chadema imemsamehe Slaa aliyesema kina genge la kuumiza watu itakuwa hawa? Muhimu tu waanze kuelezea uozo walio uona Chaumma.Wasamehewe tu.Hasira ya mkizi ni faida ya mvuvi.Hasira ni hasara naomba tuwasamehe ili tuweze kuwa na himaya pana ya mapambano.
HahhaahBasi wawe wakweli. Lengo letu lilikuwa kupata nafasi ya kugombea udiwani au ubunge na sio kusaidia chama kupata wabunge na madiwani. Sasa tungoje watakavyopokelewa kwa vigelegele. Aibu sana.
Amandla...
CPA Benson Kigailla.
Wajasiliasiasa wakipiga mahesebu.