NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,046
Ndio sasa hivi watakuwa wanataniana kuwa mwenzangu ulikuwa unalenga vizuri, mwingine atasema kuna mtu nilimpiga ya kichwa alikufa namuona roho inaumia, lakini wengine wanaombea itokee Tena
Wengine watakuwa wanajuta na kulia na kumsihi Mungu awasamehe
Wengine watakuwa wanajuta na kulia na kumsihi Mungu awasamehe