NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,046
Ndiyo maana konstebo na koplo wengi ni DV4 ya mwisho.Maafisa wanakata mshahara wao eti pesa za kufa na kuzikana,wanazila hakuna kuhoji ni kuitikia tu ndiyo afande,pumbaffffffffff.Hawana elimu +umasikini=Rohombya.Kazi yao ni ngumu na mbaya. Kutii oda sio mchezo. Alafu unaanzaje kukataa wakati kabla hujajiunga ulishaambiwa na unajua majukumu ya kazi husika.