dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,483
Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi?
Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao ndo zinafanya waimbe kwa kulia huku mawazo yakiwa kwenye misosi ya Msibani na Matanga?
Tupeni chuma hicho kuhusu DP WORLD tuone.