Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMkuu assas hana mvuto Wa kisiasa iringa Mkuu, anatuhumiwa kupora maeneo mengi sana.kimoyomoyo Msigwa anaombea assas apitishwe Na ccm kuwa mgombea.
Hivi Mdee mara ya kwanza kuingia bungeni Lowassa alikuwa chadema au unaota. Akili za ccm zimelala na Tanzania italala daima kama hili nuksi ccm ikiendelea kuongozaJK alisema za kuambiwa changanya na za kwako.
Baadhi ya wabunge ambao walibahatika kuingia bungeni kwa kubebwa na kura za " mahaba" kwa mzee Lowassa wameanza kujitafakari kama wagombee tena au wavute mafao yao na kusepa.
Mwita Waitara ameshaliachia jimbo la ubungo kwa kisingizio cha kwenda Tarime kumkomesha Heche wa Chadema lakini wadadisi wanasema amemkimbia boss wa jiji la Dsm mh Makonda.
Wengine wanaofungasha virago majimboni ni pamoja na Halima Mdee wa Kawe Kubenea wa Ubungo na Komu wa Moshi vijijini.
Mchungaji Msigwa bado anapigania jimbo lake pale Iringa japokuwa inaelezwa anapoteza muda wake bure kwani Salim Asas anakubalika na wanyalu wa itikadi zote.
Jumamosi njema!
Maendeleo hayana vyama!
Uchambuzi wa mtu aliyeshikiwa akili ambaye mahitaji yake ya mwili ni muhimu kuliko utu na haishi katika kweli.JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako.
Baadhi ya wabunge ambao walibahatika kuingia bungeni kwa kubebwa na kura za " mahaba" kwa mzee Lowassa wameanza kujitafakari kama wagombee tena au wavute mafao yao na kusepa.
Mwita Waitara ameshaliachia jimbo la ubungo kwa kisingizio cha kwenda Tarime kumkomesha Heche wa Chadema lakini wadadisi wanasema amemkimbia boss wa jiji la Dsm mh Makonda.
Wengine wanaofungasha virago majimboni ni pamoja na Halima Mdee wa Kawe Kubenea wa Ubungo na Komu wa Moshi vijijini.
Mchungaji Msigwa bado anapigania jimbo lake pale Iringa japokuwa inaelezwa anapoteza muda wake bure kwani Salim Asas anakubalika na wanyalu wa itikadi zote.
Jumamosi njema!
Maendeleo hayana vyama!
Sina ugomvi na raia wa Tanzania toka barani Asia kisa "wallet zao ni nene".JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako.
Baadhi ya wabunge ambao walibahatika kuingia bungeni kwa kubebwa na kura za " mahaba" kwa mzee Lowassa wameanza kujitafakari kama wagombee tena au wavute mafao yao na kusepa.
Mwita Waitara ameshaliachia jimbo la ubungo kwa kisingizio cha kwenda Tarime kumkomesha Heche wa Chadema lakini wadadisi wanasema amemkimbia boss wa jiji la Dsm mh Makonda.
Wengine wanaofungasha virago majimboni ni pamoja na Halima Mdee wa Kawe Kubenea wa Ubungo na Komu wa Moshi vijijini.
Mchungaji Msigwa bado anapigania jimbo lake pale Iringa japokuwa inaelezwa anapoteza muda wake bure kwani Salim Asas anakubalika na wanyalu wa itikadi zote.
Jumamosi njema!
Maendeleo hayana vyama!
Taifa la wajinga unaweza ubunge tuu hapo ela ya kula hunaMuulize huyo Halima alipenyaje uchaguzi wa 2015 atakusimulia mr pimbi.
Ndio ameshaaga hivyo anategemea kurudi kwa tiketi ya viti maalumu panapo majaliwa!
Mmeandaa visingizioUchaguzi usimamiwe na EU uone kazi! Mkishinda CDM ipigwe mabomu kama Soleimani wa Iran!
Hao jamaa wako hapa TZ wanatubagua je ukienda India si hatari, hata makazi wanaishi mjini kivyao hawachanganyiki na ngozi nyeusi, hata ajira ngozi nyeusi ukijitahidi unapewa umeneja usiokuwa na makali, wahasibu wote ni wao manunuzi wao.Sina ugomvi na raia wa Tanzania toka barani Asia kisa "wallet zao ni nene".
Sidhani kama tajri wa ngozi nyeusi anaweze kukubalika na kuwakilisha wananchi kwenye nyumba ya kutunga sheria India, Pakistani na nchi kama hizo.
Nawaza tu kama wamemchoka Msigwa wamekosa Mnyalukoo mwingine kabisa???
Mtwa Mkwawa akifufuka atawahusudu kweli kwa maamuzi haya kama watayafanya??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini Colonialism mindset itakuacha mjinga wewe?Uchaguzi usimamiwe na EU uone kazi! Mkishinda CDM ipigwe mabomu kama Soleimani wa Iran!
Slavery mentality. Kuna siku utaita EU waje wakuongoze hapo nyumbani kwako!Uchaguzi usimamiwe na EU uone kazi! Mkishinda CDM ipigwe mabomu kama Soleimani wa Iran!
watu wanakubalika kwa kupigiwa kura na sio maneno za jamii forums!JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako.
Baadhi ya wabunge ambao walibahatika kuingia bungeni kwa kubebwa na kura za " mahaba" kwa mzee Lowassa wameanza kujitafakari kama wagombee tena au wavute mafao yao na kusepa.
Mwita Waitara ameshaliachia jimbo la ubungo kwa kisingizio cha kwenda Tarime kumkomesha Heche wa Chadema lakini wadadisi wanasema amemkimbia boss wa jiji la Dsm mh Makonda.
Wengine wanaofungasha virago majimboni ni pamoja na Halima Mdee wa Kawe Kubenea wa Ubungo na Komu wa Moshi vijijini.
Mchungaji Msigwa bado anapigania jimbo lake pale Iringa japokuwa inaelezwa anapoteza muda wake bure kwani Salim Asas anakubalika na wanyalu wa itikadi zote.
Jumamosi njema!
Maendeleo hayana vyama!
Ndo ngao iliyobakiAtashindaje Msigwa hawa Wakurugenzi wanapewa mishahara na serikali ya CCM watakuwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Taka taka kabisa
Mdee ni Mbunge wa Kawe wakati Mzee Lowassa ni PM wa TZ,Iweje useme kaingia Bungeni kwa upepo wa Ngoyai?
Taka=taka
Asas ndio keshawekwa na tunaenda kumpigia kura!
Slavery mentality. Kuna siku utaita EU waje wakuongoze hapo nyumbani kwako!
Hivi Mwita Waitara ni Mbunge wa UbungoJK alisema za kuambiwa changanya na za kwako.