Walioingia bungeni kwa ‘Upepo wa Lowassa’ waanza kuaga majimboni. Wamo Waitara, Komu, Kubenea, Mdee na wengine

Hivi Mdee mara ya kwanza kuingia bungeni Lowassa alikuwa chadema au unaota. Akili za ccm zimelala na Tanzania italala daima kama hili nuksi ccm ikiendelea kuongoza
 
Uchambuzi wa mtu aliyeshikiwa akili ambaye mahitaji yake ya mwili ni muhimu kuliko utu na haishi katika kweli.
 
Sina ugomvi na raia wa Tanzania toka barani Asia kisa "wallet zao ni nene".
Sidhani kama tajri wa ngozi nyeusi anaweze kukubalika na kuwakilisha wananchi kwenye nyumba ya kutunga sheria India, Pakistani na nchi kama hizo.

Nawaza tu kama wamemchoka Msigwa wamekosa Mnyalukoo mwingine kabisa???

Mtwa Mkwawa akifufuka atawahusudu kweli kwa maamuzi haya kama watayafanya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa wako hapa TZ wanatubagua je ukienda India si hatari, hata makazi wanaishi mjini kivyao hawachanganyiki na ngozi nyeusi, hata ajira ngozi nyeusi ukijitahidi unapewa umeneja usiokuwa na makali, wahasibu wote ni wao manunuzi wao.
 
Uchaguzi usimamiwe na EU uone kazi! Mkishinda CDM ipigwe mabomu kama Soleimani wa Iran!
Slavery mentality. Kuna siku utaita EU waje wakuongoze hapo nyumbani kwako!
 
Ndoto za mchana za wanalumumba kutoka kolomije, baada ya kushiba viazi na maziwa, kinehe.
 
Wat
watu wanakubalika kwa kupigiwa kura na sio maneno za jamii forums!
 
Asas ndio keshawekwa na tunaenda kumpigia kura!

Serikali za mitaa mkachaguliwa viongozi ,

Ubunge mpewe Gabacholi , mshangilie!!!!!!!!!!!!,


mtashangaza hata Marehemu.


Wanyalu mpo?
 

Attachments

  • 2261267_tapatalk_1571851230700.jpeg
    9.2 KB · Views: 1
  • 2260929_Subpost_1_-_MBUNGE_akizungumza_na_VIONGOZI_wa_CHADEMA_wa_NGAZI_ya_KATA_kutoka_ka__480_...jpg
    33.7 KB · Views: 1
Mdee alipata ubunge kwa upepo wa Lowasa? What are you smoking?
 
Slavery mentality. Kuna siku utaita EU waje wakuongoze hapo nyumbani kwako!

Bora slavery mentality inayosaka haki, kuliko uzalendo uchwara wa kunajisi box la kura.
 
Hivi Mwita Waitara ni Mbunge wa Ubungo
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…